Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa!

Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa!

Teh teh..We mtoto hujatulia..Ndo nn kunikumbusha machungu teh...Wikend hii tunashinda wote home..Vijamaa vyako viambie vitulize ball
Yani nimecheka hatari. Baba samahani, naona huna nia njema na mimi. Jmoc namleta mkweo
 
Kuna Men zoba sana, anachepuka mpaka anaona wivu kwa mchepuko....!! Kwanza ukiwa mtaalam unakuwa na Simu special ya mchepuko. Hii mara nyingi inaachwa ofisin au kwenye gari ikiwa switched off......
Ikiwashwa ni kupeana code.... Leo Gongo la mboto hotel fulan. Si unachepuka afu unaenda na mchepuko kwenye public places..
Huu ni utoto.... Na ukichepuka chukua kifaa ambacho wife akiona anajua kwel hapa huyu sio kwa mapenzi yake bali hisia & ulijal ndio umemfanya hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Yaani umekosea sana kumpangia Mungu kuwa huwa anasamehe kirahisi rahisi tu...

In lazima utambue kuwa, hakuna mwenye hasira kama Mungu na hakuna mpole kama Mungu.

So be careful with God usimpangie aisee.
 
Back
Top Bottom