atrash
Member
- May 1, 2011
- 75
- 12
Habari zenu wana JF,
Mimi natumia king'amuzi cha Bahresa, napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku-record movies kwa kutumia USB flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc una play kwa kutumia kin'gamuzi tu sababu lile file ni PVR format sasa nimejaribu convertor tofauti kama iorgsoft convertor, WinAVI Video Converter na VideoReDo zote zimebuma kuna ambaye alisha wahi ku-convert hili file? Anipe maujanja