Jinsi ya kubadili jina facebook zaidi ya mara moja ndani ya siku 60.

panamo

Member
Nov 25, 2016
64
58
Hello guys.
leo tuangalie ni jinsi gani ya kubadili jina la face book zaidi ya mara moja ndani ya siku walizoziweka wao. Usipoelewa vizuri unaweza pitia HAPA
kulingana na sheria za facebook haiwezekani kubadili jina zaidi ya mara moja ndani ya siku 60, yaani miezi miwili.
Na hata ikiwa unataka kutumia jina ambalo uliishawahi litumia, ndani ya siku 60 bado inakuwa hairuhusiwi na hauwezi kufanya hivyo zaidi zaidi ya kuweka a.k.a tu na kubadili mbele nyuma na nyuma mbele.
CG Kama kawaida tunashare trick, it really worked for me today.

Hatua ya kwanza account yako inatakiwa iwe temporary locked na facebook wenyewe siyo wewe mtumiaji, lakini hapa sasa ndipo utata unapokuja.
nJKvFCg.png

Je utaweza vipi kuifanya account yako iwe temporary locked.
kwanza kabisa unahitaji Facebook autoposter, binafsi nitarecommend Autopilot poster Pilot Poster | 100% Free Facebook Group Auto Poster na hii narecommend kwasababu mimi nimefanikiwa kupitia hiyo ndipo nikagundua kuwa it's possible.

Ok sasa hapo baada ya kuipata account ya autoposter, unahitaji kuilink account yako na hiyo autoposter, ni very easy hata kwa ambae siyo blogger anaweza fanya hivi, na autopilot wenyewe baada ya registration tu wanakupa link ya ku add facebook account utaiona ina pop up.
Baada ya kuunganisha account yako utahitaji kutengeneza autoposting campaign hapo ndipo utakapoweza kupost tangazo lako kama ni link, picha n.k, iache autoposter iendelee
lakini baada ya muda utaona autoposter inafail, lakini error unayoihitaji ni ile inayokuambia password was changed or facebook wameifungia kwa sababu za kiusalama,
9o7VDOX.png


Baada ya hiyo error ukiingia kwenye facebook account wanakuambia wamedetect phishing activities kwenye account yako lakini ile ilikuwa ni autoposting tu kwahiyo wameifungia kwa muda kama pale juu mwanzoni inavyojieleza.
nJKvFCg.png

Baadae ukija kujaribu tena kurecover utaweza kupewa option ya kubadili password mpya, lakini usifuate yale maswali watakayo kuuliza we anza upya jifanye umesahau password ili wakutumie code kwenye email/phone # yako ili account yako ifunguliwe,
OgTEMAM.png

lakini mara baada ya kubadili password utaulizwa tena kwamba je ni wewe ambaye ulibadilisha majina haya, huku wakikupa list ya toka ulipoanza kubadilisha majina.
fMoz17y.png

Hapo ndipo utakapochagua ni jina gani unataka ulitumie, na bila wasi wasi utakuwa umefanikiwa.
Kwa maelezo zaidi pitia source hii HAPA

SOURCE --> MULTIPLE CHANGING FACEBOOK NAME WITHIN 60 DAYS
 
nikupe yangu na password unibadilishie jina maana naona uvivu kufanya yote hayo
 
Back
Top Bottom