Jinsi ya kubadili course DIT

Jinsi ya kubadili course DIT

Sasa ilikuaje ukaomba civil wakati huipendi?
Bro shuleni mim nilikuwa sielewi kitu chochote kuhusu izi course walimu wetu walikuwa wanatuambia "ni nzuri ,ni nzuri" wala sikufanya research yoyote kuhusu hizi course saiv ndo naanza kuelewaelewa kwa msaada wenu na google
 
Cha kuelezea atakipata semester ya kwanza tu
Bro mim nipo vizur yani hapa ninahamu ya kusoma kinoma sio siri nimekaa mwezi mingi bila kupiga misuli yangu ya o level (shuleni kwetu tulikuwa tunakwita kubundi )
 
Samahani ndugu zangu naomba msaada jinsi ninavyoweza kubadili course niliochaguliwa ya civil engineering kuwa computer Engineering hapo chuoni Dit nitakapo
Soma Civil Engineering wewe bado wanasoko kidogo kuliko unakotaka kukimbilia
 
Bro mim nipo vizur yani hapa ninahamu ya kusoma kinoma sio siri nimekaa mwezi mingi bila kupiga misuli yangu ya o level (shuleni kwetu tulikuwa tunakwita kubundi )
Kijana hii ndo DIT ratiba ya sup wameshatoa inaanza j3 ila matokeo bdo wanadai yanatako j3 au j2 usiku hraf j3 paper la sup. Hayo ndo maisha ya pale ukizingua usha retake
255624966728_status_b28ca06c90ee47a7bc1d7621be4c55ac~2.jpg
 
Bro mim nipo vizur yani hapa ninahamu ya kusoma kinoma sio siri nimekaa mwezi mingi bila kupiga misuli yangu ya o level (shuleni kwetu tulikuwa tunakwita kubundi )
Ukifika chuo unitafte niione hyo hamu kijana
 
Nataka nisome computer Engineering halafu degree nitachukua ya computer science Bro
Kijana bado mambo mengi huelewi kwenye hii nchi ya viwanda...

Mimi kama kaka yako nakushauri usome CIVIL kama unajijua wewe ni mtoto wa mkulima!

Computer ni nzuri ila kwenye swala la ajira (na kama wewe baba ako sio kigogo serikalin) basi jua utasaza meno ukimaliza. Ila kama unapenda kujiajiri na kama unapenda KUSOMA (rudia kusoma uelewe vizuri hapa maana hata ukimaliza chuo bado utaendelea kusoma..) basi nenda kasome computer!

All in all kwa soko la hapa Tz bado naona civil ikiwa juu katika angle za ajira na kujiajiri na computer eng ikiwa vizuri katika kujiajiri (kama ukiwa unajua vitu).

Kazi kwako!!
 
Bro mim siishii diploma nataka nisome mpaka niwe na masters
 
Mimi nilipita DIT diploma enzi hzo ila kwa ushauri wangu soma Civil kuna miradi mingi sana inaendelea utapata fursa kubwa sana maana degree unaweza kuchange kozi ingne mimi nilisoma lab tech diploma degree nkasoma cbe kozi ya industrial metrology and standadization..

Kila la kher
 
Asante bro.saiv naanza kuelewa elewa kuhusu hizi course na masoko yake vizur
 
Back
Top Bottom