Jinsi ya kubadili course DIT

Jinsi ya kubadili course DIT

Hahaha akishaanza kula DH na musuri mirefu ya B12 au T au C 1&2 ataelewa
Mimi mwenyewe nilikua na mawazo hayo hayo. Hustle nilizopitia paka diploma ikaisha. Nikasema Si-So-Mi, hata mfanye nini,
Nimekesha sana B9
Nimekesha sana W8.
Ataelewa tuu akishafika dit baada ya test 1 na 2.
 
Back
Top Bottom