Jinsi ya kuangalia channel za DSTV Bure kuptia simu

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Natumaini wote mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenge taifa. bila kupoteza muda leo nina maujanja ningpenda kushare na nyie. Njia hii ni rahisi na ya haraka na unaweza kuangalia channel za michezo burudani na hata za filamu.

Bila kupoteza muda twende tukajifunze njia hii rahisi

LINK MAALUM
1. Download App ya RedBox TV hapa - Tanzania Tech
2. Download App ya MX Player hapa - MX Player - Android Apps on Google Play
3. Zaidi kuhusu maujanja haya hapa - Jinsi ya Kuangalia Bure Channel za DSTV Kupitia Simu ya Mkononi
4. Unaweza kujifunza jinsi ya kudownload movies na series mpya kwenye simu yako hapa - Jinsi ya Kupata Movie/Series Mpya Kupitia Simu [HASHTAG]#Maujanja[/HASHTAG] 48
JIFUNZE [HASHTAG]#MAUJANJA[/HASHTAG] ZAIDI KWA KUTEMBELEA TOVUTI YA TANZANIA TECH .
 
Mbona hizo sites zako hapo no 3 haifunguki wala haiload
 
Super Sport zipo ila sijajua ni super sport namba ngapi, pia zipo channel nyingi sana za michezo
wewe acha kuingiza wenzio chaka kwanza hyo redbox tv yenyewe haina hzo supersport channels zenyewe ni majina tu na sio za dstv ni bora uktv ama mobdro kuliko hyo 7bu iko slow na mbaya
 
Back
Top Bottom