Jinsi ya kuandaa Msiba wa Baba yako!

Jinsi ya kuandaa Msiba wa Baba yako!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kwa kawaida Mzazi hutangulia kabla ya mtoto, ingawaje hutokea pia mtoto kuanza, Maandiko yanasema Baba humpokea mtoto Duniani na mtoto humsindikiza Baba kutoka Duniani.

Sasa nimeona ni muhimu kama Mwanaume ujitayarishe jinsi utakavyodili na msiba wa Baba yako,utapanga vipi mazishi, maziko na hata baada ya mazishi kuisaidia Familia kusimama na kusonga mbele.

Mapendekezo ushauri unahitajika, jinsi ya kuandaa mazishi ya Baba, pindi utokeapo, ...

1. Weka akiba ya fedha ili uwe na pa kuanzia kabla ya kuchangiwa.
2.Jifahamishe ni wapi Baba yako angependelea kulazwa pindi aondokapo hili unaweza kulifanya kwa kumuuliza.
3.
 
Duh..!
Kwanini BABA na sio mtu mwingine yeyote katika famili??
 
Kwa kawaida Mzazi hutangulia kabla ya mtoto, ingawaje hutokea pia mtoto kuanza.

Sasa nimeona ni muhimu kama Mwanaume ujitayarishe jinsi utakavyodili na msiba wa Baba yako,utapanga vipi mazishi, maziko na hata baada ya mazishi kuisaidia Familia kusimama na kusonga mbele.

Mapendekezo ushauri unahitajika, jinsi ya kuandaa mazishi ya Baba, pindi utokeapo, ...

1. Weka akiba ya fedha ili uwe na pa kuanzia kabla ya kuchangiwa.
2.Jifahamishe ni wapi Baba yako angependelea kulazwa pindi aondokapo hili unaweza kulifanya kwa kumuuliza.
3.
Mchawi wewe, utafeli.
 
4. Njoo nikuuzie jeneza mapema kabla baba yako hajafa ili uweke akiba akifa tu mnazika fasta.
 
Kwa kawaida Mzazi hutangulia kabla ya mtoto, ingawaje hutokea pia mtoto kuanza, Maandiko yanasema Baba humpokea mtoto Duniani na mtoto humsindikiza Baba kutoka Duniani.

Sasa nimeona ni muhimu kama Mwanaume ujitayarishe jinsi utakavyodili na msiba wa Baba yako,utapanga vipi mazishi, maziko na hata baada ya mazishi kuisaidia Familia kusimama na kusonga mbele.

Mapendekezo ushauri unahitajika, jinsi ya kuandaa mazishi ya Baba, pindi utokeapo, ...

1. Weka akiba ya fedha ili uwe na pa kuanzia kabla ya kuchangiwa.
2.Jifahamishe ni wapi Baba yako angependelea kulazwa pindi aondokapo hili unaweza kulifanya kwa kumuuliza.
3.
Maandalizi pekee ya misiba ni kushiriki vyema kwenye misiba ya wengine (ndugu, jamaa na marafiki) ili ukija kwako waje kukusaidia. Hilo la kuweka akiba wala siyo maandalizi bali ujinga na uchoyo vile
 
Najua kufa ni lazima na kila mtu atakufa, ila naogopa kuwaza kwamba Baba yangu atakufa siku moja, naogopa jamani.
 
Kwa kawaida Mzazi hutangulia kabla ya mtoto, ingawaje hutokea pia mtoto kuanza, Maandiko yanasema Baba humpokea mtoto Duniani na mtoto humsindikiza Baba kutoka Duniani.

Sasa nimeona ni muhimu kama Mwanaume ujitayarishe jinsi utakavyodili na msiba wa Baba yako,utapanga vipi mazishi, maziko na hata baada ya mazishi kuisaidia Familia kusimama na kusonga mbele.

Mapendekezo ushauri unahitajika, jinsi ya kuandaa mazishi ya Baba, pindi utokeapo, ...

1. Weka akiba ya fedha ili uwe na pa kuanzia kabla ya kuchangiwa.
2.Jifahamishe ni wapi Baba yako angependelea kulazwa pindi aondokapo hili unaweza kulifanya kwa kumuuliza.
3.
Duu ukimuuliza atamaindi sana
 
Akifia uko baharini, si utakuwa umepoteza nguvu za bure kuandaa msiba wake??.

Akitoweka tu kama henock si utakuwa unaingilia ratiba za Mungu kwamba lazima afe??

Ukifa wewe kwanza, na umesave pesa kwaajili yake, huoni kama umejipangia kesho ili hali hujui sekunde iliombele yako??

Kwanini atangulie yeye?? Wewe unakazi gani usife kwanza kabla yake??

Kuandaa msiba wa mtu aliye hai ni kumzika angali anatembea na kupumua. Kifo kipo lkn huwezi fanya maandalizi maana hujui lini utakufa.

Hata kununua jeneza kabla ya kufa ni ujinga, likioza ndani hio hasara si umejitakia?.
 
Back
Top Bottom