Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
- Thread starter
- #21
Najua kufa ni lazima na kila mtu atakufa, ila naogopa kuwaza kwamba Baba yangu atakufa siku moja, naogopa jamani.
Kama wewe ni Mwanamke ni haki yako, hii ni kwa ajli ya watoto wa Kiume, ambao ni lazima waonyeshe Uanaume kwa kuweza kumzika Baba na kumudu mazishi yake!