Jinsi ya ku upload Torrent File

Jinsi ya ku upload Torrent File

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Msaada mwenye ufahamu jinsi ku-upload kitu ktk Torrent kiasi kwamba ikawa downloaded na watu wengine
Natanguliza Shukrani
 
mkuu kabla ya kudownload unatakiwa ujue unatengenezaje torrent kwanza

-fungua software yako ya kudownnloadia torrent lets say tunatumia utorrent click juu create torrent
550px-Create-a-Torrent-Step-2.jpg


-ukishaclick chagua mafile yako unayotaka yawe kwenye torrent yako

-ukishaeka mafile chagua na tracker

-usisahau kutick start seeding basi hapo ur ready torrent file lako lipo pouwa.

then unatakiwa kushare hilo file la torrent kwenye website za torrent inabidi ukaliupload huko

mfano kama ni pirateby kwanza register then kwa chini utaona upload torrent then upload kifile chako

cha muhimu usisahau kwenye torrent hatu upload mafile inabidi computer yako 24hrs iwe online kuwa uploadia watu hadi watu wengine watakapokusaidia kuseed.
 
Back
Top Bottom