Nawezaje Kutambua mahali ilipo simu kwa kutumia IMEI au serial number

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
Wadau naomba msaada wa kujuzwa namna ya kubaini mahali ilipo simu kwa kutumia aidha serial number au imei number

Naomba kwa anayefahamu wapi kwa Dar es Salaam au Arusha naweza kupata msaada wa kutaftiwa simu yangu iliyoibiwa, Nimeambiwa hiyo kitu inafanyika now, ni smart phone Nokia lumia na nakumbuka IMEI number zake.

Habari wana JF,
Last week mitaani fulani ya Buguruni niliibiwa simu yangu, Samsung note 3, nakumbuka niliziandika imei za hiyo simu but juzi ndo nikawa nimepata imei sehemu ambayo nilikuwa nimeziandika..
Hivi nikisema nianze kuifuatilia kuna uwezekano wa kuipata...
Kinacho nipa wasiwasi ni kupoteza muda na fedha lakini na mwisho wa siku nisiipate...
Msaada wana JF...

Wadau, nimeibiwa simu. Naomba kuuliza ikiwa kuna namna naweza kuipata simu iliyoibiwa. Na je kama ninazo IMEI namba inaweza saidia kui-trace simu au kuiblock? Msaada plz.Na je sheria mpya ya uharifu mitandaoni inahusika hapa?

Msaada wenu jamani! Mimi nimeibiwa simu yangu aina ya SAMSUNG Galaxy Note II. Ninayo IMEI ya simu hiyo. Je ni hatua gani nizifuate kupata kumjua mtumiaji wa sasa? Kwa yeyote mwenye ujuzi na hilo naomba anisaidie.

Kuna app inaitwa NQ Security ambayo itakupa msg wakati wowote mtu anapo swap simcard kwenye simu yako. App hiyo ina uwezo wa kulocate area simu ilipo na hata kumpiga picha 'mwizi wa simu yako na kuituma kwenye email address yako. Waweza kuifunga simu, kufuta data remotely na zaidi waweza iamuru simu iliyoibiwa kupiga alarm na kumletea usumbufu 'mwizi wako'.
 
Ni kwamba jamaa wameiba simu then wanaitumia, can I be able to locate walipo wahalifu hawa kwa kutumia IMEI
 
Nokia lumia 9...windows has the bultin gps however you'r on range you can even manage phone setings remotely with your pc or laptop.good 1 no fix can be done on it√
 
Kwa level yako hauwezi na kwa mujibu wa TCRA hairuhusiwi ku disclose kastoma infomashoni.

Nenda Polisi kafungue jarada wapatie hyo IMEI then watafuatilia[hapo ndio hela itakapokutoka utajikuta unapoteza hadi laki 3 wakati cm yenyewe inauzwa laki 2.
 
Naomba kwa anayefahamu wapi kwa Dar es Salaam au Arusha naweza kupata msaada wa kutaftiwa simu yangu iliyoibiwa, Nimeambiwa hiyo kitu inafanyika now, ni smart phone Nokia lumia na nakumbuka IMEI number zake.
 
We're sorry, but we weren't able to find your phone. But please try again later. We might have a better connection in a little while.
Inanipa msg hiyo hapo chief, imeonyesha tarehe iliyopotea na muda pia.
 
We're sorry, but we weren't able to find your phone. But please try again later. We might have a better connection in a little while.
Inanipa msg hiyo hapo chief, imeonyesha tarehe iliyopotea na muda pia.

Huwenda itakua imezimwa au hio feature haijakuwa activated kwenye simu yako.
 
  • Thanks
Reactions: Atn
Back
Top Bottom