Jinsi ya ku log out FB kwenye simu iliyopotea

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Tutakhabarishana JINSI YA KU LOG OUT FB KWENYE SIMU ILIYOPOTEA.

Kama Ilivyokuwa Mipango Ya Allaah, Ikatokea Umepoteza/Umeibiwa Simu, Hali ya kuwa Fb account Yako ime Log in kwenye hiyo simu. Je nini Kifanyike Ili Ku Log Out Fb account yako kwenye hiyo simu?

HATUA
1. Log in Fb Kwa Kutumia Lap/Desk-top

2. Bofya Pembe 3 Iliyopo karibu na Sehemu Ya Notification Au Help (?)

3. Bofya SETTINGS > MOBILE > LOST YOUR PHONE? > LOG OUT ON PHONE.

So Mpaka Hapo Utakuwa Umei-Log out Fb acount Sehemu Nyingine Yoyote Iliyokuwa ImeLog in.

Ikiwa Allaah Hajakumilikisha Lap/Desk-Top, Na Kukawa Na Ulazima Wa KuiLog Out, Azima Hata Kwa Ndugu, Jamaa Ama Rafiki Au Nenda Internet Cafe.

MAELEZO KWA VIDEO

 
Mimi nimeunstall fb ya mwanzo nikainstall nyingine lakini inagoma kulog in nifanyeje wakuu?
 
Asante mkuu!
Mimi ningefanya kama nadelete account!
Ukishakubali kuidelete ina log out kote!
Then nalogin na kusitisha kudelete.!
 
Back
Top Bottom