Jinsi ya ku 'boost' tangazo Facebook

Jinsi ya ku 'boost' tangazo Facebook

Uwe na kadi inauoruhusu kufanya malipo online Kisha nenda katengeneze page Kisha nenda sehem ya ads Kisha pachika picha au video ya tangazo kicha chagua nchi pia chagua lika la unaotaka uwatangazie kusha weka kiasi kuanzia dollar moja au zaidi alafu uchague unataka click au impression Kisha lipa
Shukran
 
Tengeneza facebook page. Kisha uwena mastr au visa kadi. Hizi za simu huww zinazingua. Nenda equity, unapata visa yako siku hiyohiyo. Ukikamilidhw mamno haya mawili, page na vosa/master mengine ni rahisi tu.
 
Gharama kuanzia dola moja. Na mkopo wa kutangaza, ywani postpaid upo. Hakuna mtandao mzuri kutangazw biasharq kw facebook
 
Sawa shukran

Sawa Boss kubwa, shukran sana Kwa kunipa alternatives
simu inakuwa very limited baadhi ya feature

Ukitumia laptop
facebook wana business manager ambayo inadeal na manbo yote ya kumanagr page yako pamoja na advertisement
business.facebook.com
hapo unanaliza kila kitu ndani ya nusu saa tu unakuwa na ads zako
 
Kwani namna ya kufungua account ya online banking ni aje?
huhutaji kufungua online banking account
unachotakuwa kuwa nacho ni kadi ya bank tu
au hata airtel wanahuduma ya mastercard

Tofauti ni makato ya airtel yanakuwa makubwa compared na ukitumia atm card yako

kila malipo utakayofanya ya ads wanakata 2423 kwa dollar pamoja na 1,000 kama fee
 
huhutaji kufungua online banking account
unachotakuwa kuwa nacho ni kadi ya bank tu
au hata airtel wanahuduma ya mastercard

Tofauti ni makato ya airtel yanakuwa makubwa compared na ukitumia atm card yako

kila malipo utakayofanya ya ads wanakata 2423 kwa dollar pamoja na 1,000 kama fee
ATM yenyewe makato yanakuwaje?
 
Back
Top Bottom