BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Asante sana Mkuu...! Tunaomba pia maelezo ya jinsi ya kuandika CV kama utakuwa na uzoefu..!Huwa nashindwa kuelewa sisi watanzania huwa tunatumia vigezo gani wakati tunapatania mishahara. Mimi nafikiri kazi inatakiwa ikuhudumie mfanyakazi na siyo wewe uwe unaihudumia kazi. Kuna wafanyakazi wengi sana wanatumia resources zao wakati wakiwa kazini bila kupata malipo yoyoye yale ya ziada. Mfano mtu anatumia gari lake, mafuta yake, simu yake, PR yake etc. Na wakati ana ajiriwa anajua hayo matumizi yapo ila we never take into consideration. (Tuondoe kabisa mentality ya kupiga deal makazini.
Ni vizuri wakati tuna bargain mishahara tuwe tuna consider yafuatayo.
1. Nauli/Mafuta ya gari
2. Wear & Tear ya gari
3. Kodi ya nyumba hata kama una nyumba assume kwamba umepanga kwasababu hata nyumba yako inahitaji repair & maitanance
4. Chakula, matibabu, ada za watoto na fedha ya dharura
5. Markup at leat 25% ya gharama zote ili uweze ku save.
Uzoefu unaonyesha mshahara wa kwanza ambao umepatana na mwajiri unaweza ukaongezeka baada ya miaka mitatu na siyo zaidi ya 15%. hivyo mapatano ya mwanzo yana maana sana.
N.B NEVER EVER TRY TO BARGAIN CHEAP UKITEGEMEA KWAMBA UTAPIGA DEAL.
Asante sana Mkuu...! Tunaomba pia maelezo ya jinsi ya kuandika CV kama utakuwa na uzoefu..!
Huwa nashindwa kuelewa sisi watanzania huwa tunatumia vigezo gani wakati tunapatania mishahara. Mimi nafikiri kazi inatakiwa ikuhudumie mfanyakazi na siyo wewe uwe unaihudumia kazi. Kuna wafanyakazi wengi sana wanatumia resources zao wakati wakiwa kazini bila kupata malipo yoyoye yale ya ziada. Mfano mtu anatumia gari lake, mafuta yake, simu yake, PR yake etc. Na wakati ana ajiriwa anajua hayo matumizi yapo ila we never take into consideration. (Tuondoe kabisa mentality ya kupiga deal makazini.
Ni vizuri wakati tuna bargain mishahara tuwe tuna consider yafuatayo.
1. Nauli/Mafuta ya gari
2. Wear & Tear ya gari
3. Kodi ya nyumba hata kama una nyumba assume kwamba umepanga kwasababu hata nyumba yako inahitaji repair & maitanance
4. Chakula, matibabu, ada za watoto na fedha ya dharura
5. Markup at leat 25% ya gharama zote ili uweze ku save.
Uzoefu unaonyesha mshahara wa kwanza ambao umepatana na mwajiri unaweza ukaongezeka baada ya miaka mitatu na siyo zaidi ya 15%. hivyo mapatano ya mwanzo yana maana sana.
N.B NEVER EVER TRY TO BARGAIN CHEAP UKITEGEMEA KWAMBA UTAPIGA DEAL.
mkuu hii ni kweli kabisa, wengi wetu tunakua desperate sana kwenye interview hata take home tunazoomba hazilingani kabisa na maisha ya sasa, inabidi tubadilike jamani tujue thamani yetu
Unfortunately waajiri wetu (na hasa HR managers) hawajuo hayo mambo, wao wako bize kuanalia mwajiri atafaidi vipi huduma yako at the cheapest rate
Huwa nashindwa kuelewa sisi watanzania huwa tunatumia vigezo gani wakati tunapatania mishahara. Mimi nafikiri kazi inatakiwa ikuhudumie mfanyakazi na siyo wewe uwe unaihudumia kazi. Kuna wafanyakazi wengi sana wanatumia resources zao wakati wakiwa kazini bila kupata malipo yoyoye yale ya ziada. Mfano mtu anatumia gari lake, mafuta yake, simu yake, PR yake etc. Na wakati ana ajiriwa anajua hayo matumizi yapo ila we never take into consideration. (Tuondoe kabisa mentality ya kupiga deal makazini.
Ni vizuri wakati tuna bargain mishahara tuwe tuna consider yafuatayo.
1. Nauli/Mafuta ya gari
2. Wear & Tear ya gari
3. Kodi ya nyumba hata kama una nyumba assume kwamba umepanga kwasababu hata nyumba yako inahitaji repair & maitanance
4. Chakula, matibabu, ada za watoto na fedha ya dharura
5. Markup at leat 25% ya gharama zote ili uweze ku save.
Uzoefu unaonyesha mshahara wa kwanza ambao umepatana na mwajiri unaweza ukaongezeka baada ya miaka mitatu na siyo zaidi ya 15%. hivyo mapatano ya mwanzo yana maana sana.
N.B NEVER EVER TRY TO BARGAIN CHEAP UKITEGEMEA KWAMBA UTAPIGA DEAL.
Na mwajiri akishaona uko desparate ndo anakukandamiza kabisa. Sasa usikubali kuwa desparate kwani hapo una uza PRODUCT yako ambayo ni wewe mwenyewe who knows your qualities[/QUOTE
Mkuu inatokana na mtu kasota kipindi kirefu bila kazi. Hapa anajaribu kudhani akijipandisha thamani na huku kuna msululu wa interviewee wanasubiri kuingia hatopata hiyo nafasi. Hali hiyo inaenda kuwa mbaya anapoacha kazi hiyo anajikuta hana mafao ya kutosha. Hata hivyo unyonge wa aina hii uliwahi mgharimu jamaa mmoja aliyebid kiwango kidogo cha mshahara na kujikuta wenye kampuni wakimkataa kwa vile turn over ya kampuni isingeweza kuajiri mtu anayebid mshahara mdogo kwa woga wa kuibiwa badae kupitia hayo yanayoitwa madili.
Huwezi kuishi bila ya deal makazini. Labda kwa sisi madada upate boss huko ofisni awe ana ku support
Na mwajiri akishaona uko desparate ndo anakukandamiza kabisa. Sasa usikubali kuwa desparate kwani hapo una uza PRODUCT yako ambayo ni wewe mwenyewe who knows your qualities[/QUOTE
Mkuu inatokana na mtu kasota kipindi kirefu bila kazi. Hapa anajaribu kudhani akijipandisha thamani na huku kuna msululu wa interviewee wanasubiri kuingia hatopata hiyo nafasi. Hali hiyo inaenda kuwa mbaya anapoacha kazi hiyo anajikuta hana mafao ya kutosha. Hata hivyo unyonge wa aina hii uliwahi mgharimu jamaa mmoja aliyebid kiwango kidogo cha mshahara na kujikuta wenye kampuni wakimkataa kwa vile turn over ya kampuni isingeweza kuajiri mtu anayebid mshahara mdogo kwa woga wa kuibiwa badae kupitia hayo yanayoitwa madili.
Kama umeweza kuvumilia endelea kuvumilia as long as you are competent.
kuna ukweli hapo, ila kubagain mshahara pia hutegemea kazi unayoomba, nafasi yako ktk kazi hyo, uzoefu ulionao na uhusiano wake na kazi ynyewe, kiwango chako cha elimu na uhusiano wa elim hiyo na kazi yenyewe n.k ambavyo watataja wengine.
Kwa mfano nilipomaliza chuo niliwah omba kazi ktk kampuni ya teleco, ilikua ni nafasi ya u catama care.nikaitwa kwa intaviu.
kwa uelewa nilokua nao ile kazi hua ni full bize full day, na wakati mwingine hua kazin mtu unakwenda saa 6usiku(wanaofanya watashuhudia).
haya na mengine mengi yakanifanya nikawataka wanilipe laki7.ila waniambia "yani we ni fresh from collage na unataka laki7??"
"Nenda tutakwita" hadi leo hii.mwenzangu tuliekua ane akataka laki 4 na akapata ile kazi.