Jinsi ya allocate HDD

Jinsi ya allocate HDD

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,456
Wakuu
Kuna SATA HDD inanisumbua ku allocate... Nikijaribu kuinitialize inaniambia data error (cyclic redundancy check)

Naomba msaada wa ku solve hili tatizo plz
IMG_20180912_165014.jpg
IMG_20180912_164953.jpg
IMG_20180912_164939.jpg
 
ata mimi nina tatizo kama hiloo nimejaribu but nimeshindwa kabisa

metumia MinTools
EASE lakini nimeshindwaa
 
Hiyo hdd imeshakufa,,achana nayo tafuta nyingine.
 
Unatakiwa uiformat kwenye muundo NTFS, right click halafu format.
 
Back
Top Bottom