Jinsi wanaume wa Nigeria wanavyotongoza

life coach

Senior Member
Apr 11, 2017
121
401
Nimeona nikuletee sampuli za utongizaji za wanaume wa kinaijeria kulingana na taaluma zao.


Mwanafunzi wa kingereza.
I no sabi blow English but I fit tell you say I LOVE YOU.
MAANA:I know i dont know English ,but i can say that "I LOVE U"

Mwanafunzi wa jeographia.
My Geography na kpom kpom but I sabi sayWHERE you live; na in my HEART
Maana:Najua kuwa sijui jografia kabisa,ila najua sehemu unayoishi,na sehemu hiyo ni moyoni mwangu.

Mwanafunzi wa history.
I dey bad for History but i REMEMBER di first time i see you.
Maana: mi sio mzuri kwenye historia,ila nakumbuka siku ya kwanza kukuona.

Mwanafunzi wa kemia.
My Chemistry na zero but I can tell wetin be di REACTION when you smile.
Maana: Japo sijui kemia,ila naweza kusema reaction inayotokea pindi ukitabasamu.

Mwanafunzi wa fizikia.
I am BAD in PHYSICS but I sabi di INTENSITY of SPARK in my EYES when dey SEE you.
Maana: Japo sijui fizikia,ila naweza kujua kiwango mwanga katika mboni zangu pindi nikuonapo.

Mwanafunzi wa maarifa ya jamii.
I fit be olodo for every subject but make I tell everybody now; I go pass all subjects if di TOPIC na YOU.
Maana; japokuwa mi ni kilaza katika masomo yote,ila nataka kuwahakikishia watu kua kama topic za masomo hayo itakuwa ni wewe,basi nitafauru masomo yote.


Describe Me
A Wife asked her husband to describe her, the husband said u’re “A B C D EF G H I J K”
Hmm! Wife said, “wat does dat mean?”
“ Adorable, B eautiful, C ute, D elightful, E legant,
F airlyGorgeous and Hot
she said “oh, thats so lovely, wat about I J K ? He said, “I ‘m J ust K idding” Gbosaa!
 
Back
Top Bottom