Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,132
Sky Eclat, jibu lako na swali havifanani. Hajauliza jinsi mlivyokutana bali jinsi ulivyo/alivyokutongozaTulikutana kwenye seminar ya kikazi, tulikuwa kule kwa siku 5 za kikazi (Monday - Friday) baada ya hapo tuliendelea kufahamiana zaidi.
Oh ndiyo tunavyofeli mitihani hivi kwa kukurupuka. Siku ya mwisho alinikiss shavuni, mbele ya group lote tuliokuwepo, kila ningekuwa mweupe ningekuwa pink mashavuni. Na aliniachia e-mail address.Sky Eclat, jibu lako na swali havifanani. Hajauliza jinsi mlivyokutana bali jinsi ulivyo/alivyokutongoza
Na yule wa vifuniko vya asali?Nilikutana nae kwao china..Alikuwa mfanya usafi wa hoteli niliyofikia..
Siku hiyo ilikuwa ndo siku ya semina..Baada ya kuambiwa semina itachelewa kidogo kuanza,Nikaamua niende msalani nikapunguze uzito..Wakati naingia msalani ye alikuwa yuko nje anafanya usafi maeneo hayo...
Nilivyoingia ndani nikakutana na maelezo kibao yamebandikwa yakitoa ufafanuzi jinsi ya kutumia vyoo hivyo..Sikujisumbua kuyasoma sababu nilikuwa tayari nina siku mbili pale hotelini..So nikajua vyoo ni kama vilevile tu vya room kwangu...Nikachojoa nguo then kama kawaida yangu vyoo vya kukaa mi uwa napanda kwa juu kama vile natumia vyoo vya shimo..Kumbe zile sakafu zimewekewa sensor..Mtu akitoka msalani choo kizima kinajiflash..Baadhi ya maji yanatoka kwa juu..
Mi nilivyopanda juu...choo kikajua huyu muhuni kashatoka tayari..Basi ile naanza kukata gogo tu nikasikia mimajii mwaaa kutoka juu..Suti yote ikalowa...
Baada ya hilo tukio nikasikia kicheko kutoka nje..Nikajua tu ni yule dada mfanya usafi..Wakati najifikiria cha kufanya nikasikia yule dada anauliza..Can i help u sir?..Nikaamua kubaki kimya tu nisijue la kufanya..Baada ya kupita dk 10 bila kuniona nikitoka, akarudi na kuniuliza tena..Ikabidi tu nimuombe aende room kwangu akanilitee nguo na taulo..Akaniachia Id yake ili kunitoa uoga..Akaleta vitu nikatinga then akachukua zile nyingine na kuzirudisha room mi nikawahi kwenye semina..
Baada ya semina niliamua kumtafuta ili kumpa ahsante..Hapo ndo mfahamiano ulipoanzia
Na hii ndiyo aina ya kutongozana katika kizazi hiki cha ki-digital!Hatujawai tongozana mweee n urafk af kuitana bby
Halafu ukanza kumwandikia e-mail au yeye ndo alianza..?Oh ndiyo tunavyofeli mitihani hivi kwa kukurupuka. Siku ya mwisho alinikiss shavuni, mbele ya group lote tuliokuwepo, kila ningekuwa mweupe ningekuwa pink mashavuni. Na aliniachia e-mail address.
Alianza yeye.Halafu ukanza kumwandikia e-mail au yeye ndo alianza..?
Ahahahahahha halafu sijuagi kwa nini wanawake huwaga hamuanzi, nyie ni kufa na tai shingoni.Alianza yeye.
Ahahahahahha halafu sijuagi kwa nini wanawake huwaga hamuanzi, nyie ni kufa na tai shingoni.
Mi nilikutana naye akiwa anaosha vyombo kwa kaka yake. Wakati huo naenda anza first year UDSM. Sikurudi hapo hadi nilipokuwa mwaka wa pili... akanikumbuka hadi nguo niliyovaa siku ya kwanza tunaonana. Hilo likanishawishi na wakati huo class ni stori za kuandaa mchumba... mi nikaenda direct kwamba nitamuowa nikimaliza chuo. Nikaonekana muongo lakini ndo tunaishi hadi leo na watoto ju..
...better and better and did you get ze ndoa..??Yaa tuliexchange e-mails, niliporudi kazini alikuwa anaandika kila karibu kila siku, kwakua kulikua kuna kitu niliapply ikabidi niwe ninafunga e-mail yangu kila siku kangalia majibu. Nilijikuta ninapenda kusoma e-mails zake na kujibu. Majibu yangu yalivyokuja nikamwambia bwana mimi ni mvivu sana wa kufungua e-mail kila siku, tukutane whatusp, from there things got better and better.
Not yet but that is what we are planning for. We just met in February last year, then he had a year contract in another country, he has just come back recently....better and better and did you get ze ndoa..??