Kwanza hakukuwahi kuwa na vikundi kama hivo,Ila sasa hivi kuna force kubwa kuliko hivo vikundi.Nguvu ya vikundi hivi umeiona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa n.k.Vikundi hivyo vya maandamano na migomo vilikuwa ni "projects" za UKAWA na washirika hasa CHADEMA ,Sasa vimekufa baada ya CHADEMA kusambaratika. Prove me wrong if am incorrect
Uwezi kuliona hilo kama uko sentimental.Na wala hutaelewa kwa sasa mpaka itakapokamilika
Nafikiri ilimu yako kuhusu movement iko limited,Unachopaswa ufahamu ni kwamba kabla hayo unayotaja hayajafanyika lazima kuwe na factors nyingine zinazowezesha hayo kufanyika.Hizo factors nyingine ziko sana na kila siku tunaona dalili zake kwenye media na mitaani.Wafadhili watatokea na viongozi watatokea mambo yakikamilika.Ila unaweza kufikiri tofautiHakuna na hakujawahi kutokea movement yoyote Dunia hii bila ya kuwa na Kiongozi au mtu anayeratibu, sasa nani huyo mwenye uwezo wa kuwaunganisha Watanzania dhidi ya Serikali? Kuna namna mbili tu hilo kuweza kufanikiwa TZ aidha kutumia Dini yaani atokee mtu awaaminishe Dini fulani kwamba maslahi yao ya kidini TZ yanaminywa hivyo ni lazima wayadai kwa kila hali au kundi la Kikabila kwa lengo hilo hilo kama la kidini, na lazima huyo anayeratibu awe na sapoti kubwa sana nje ya nchi kama ni peke yake hafiki popote kwani two shots and he is gone.
Ukiondoa hizo sababu 2 hakuna chochote kinachoweza kuwafanya watu watengeneze hiyo movement.
Kila movement Duniani ina sababu ambayo itamfanya mtu awe tayari kuifia na ni lazima hiyo movement ina Kiongozi na huyo Kiongozi ni lazima awe ametengeneza network kubwa nje ya nchi, sasa kwa Tanzania bado sana kufikia huko.
Nafikiri ilimu yako kuhusu movement iko limited,Unachopaswa ufahamu ni kwamba kabla hayo unayotaja hayajafanyika lazima kuwe na factors nyingine zinazowezesha hayo kufanyika.Hizo factors nyingine ziko sana na kila siku tunaona dalili zake kwenye media na mitaani.Wafadhili watatokea na viongozi watatokea mambo yakikamilika.Ila unaweza kufikiri tofauti
Kwa hio haiwezekani kwa Tanzania sio?Hakuna kitu kama hicho, kama ingekuwa ni rahisi hivyo Dunia nzima kungekuwa na Mapinduzi kila siku, usidanganywe na mainstream media, hizo movements unazoona zinaangusha Serikali nchi nyingine ziko planned sema wanaopanga na kuratibu hauwaoni, kwanza unahitaji fedha nyingi sana kulipa watu, hakuna mtu atakubali kuumizwa au kufa hivi hivi tu kwa kuwa eti wewe haupendi Serikali yaani aandamane kwa ajili yako ? Wewe ni nani? Ila toa hela utapata watu wa kutengeneza anarchy, na hilo ni Dunia nzima.
Kwa hio haiwezekani kwa Tanzania sio?
Kushibdwa kuheshimu na kuthamini utu wa mtu/watu huwa sababu kubwa sana ya hayo makundi unayoyaeleza ila udini ukabila ubaguzi ni matawi tu ccm endeleeni kuwadharau kuwaua kuwakejeli kuwatukana wapinzani na wananchi wenye mawazo tofauti na ninyi mliopomadaraka halafu tembeeni kifua mbele mkiimba mapambio ya amani baada ya mda wa miaka michache tutaona kama tanzania itakuwa salamaHakuna na hakujawahi kutokea movement yoyote Dunia hii bila ya kuwa na Kiongozi au mtu anayeratibu, sasa nani huyo mwenye uwezo wa kuwaunganisha Watanzania dhidi ya Serikali? Kuna namna mbili tu hilo kuweza kufanikiwa TZ aidha kutumia Dini yaani atokee mtu awaaminishe Dini fulani kwamba maslahi yao ya kidini TZ yanaminywa hivyo ni lazima wayadai kwa kila hali au kundi la Kikabila kwa lengo hilo hilo kama la kidini, na lazima huyo anayeratibu awe na sapoti kubwa sana nje ya nchi kama ni peke yake hafiki popote kwani two shots and he is gone.
Ukiondoa hizo sababu 2 hakuna chochote kinachoweza kuwafanya watu watengeneze hiyo movement.
Kila movement Duniani ina sababu ambayo itamfanya mtu awe tayari kuifia na ni lazima hiyo movement ina Kiongozi na huyo Kiongozi ni lazima awe ametengeneza network kubwa nje ya nchi, sasa kwa Tanzania bado sana kufikia huko.
Kwa wengine linawezekana kutokea ila kwa tanzania bado kwa sababu tz ni sayari nyingine nje ya dunia.Hakuna kitu kama hicho, kama ingekuwa ni rahisi hivyo Dunia nzima kungekuwa na Mapinduzi kila siku, usidanganywe na mainstream media, hizo movements unazoona zinaangusha Serikali nchi nyingine ziko planned sema wanaopanga na kuratibu hauwaoni, kwanza unahitaji fedha nyingi sana kulipa watu, hakuna mtu atakubali kuumizwa au kufa hivi hivi tu kwa kuwa eti wewe haupendi Serikali yaani aandamane kwa ajili yako ? Wewe ni nani? Ila toa hela utapata watu wa kutengeneza anarchy, na hilo ni Dunia nzima.
Kwa wengine linawezekana kutokea ila kwa tanzania bado kwa sababu tz ni sayari nyingine nje ya dunia.
Kushibdwa kuheshimu na kuthamini utu wa mtu/watu huwa sababu kubwa sana ya hayo makundi unayoyaeleza ila udini ukabila ubaguzi ni matawi tu ccm endeleeni kuwadharau kuwaua kuwakejeli kuwatukana wapinzani na wananchi wenye mawazo tofauti na ninyi mliopomadaraka halafu tembeeni kifua mbele mkiimba mapambio ya amani baada ya mda wa miaka michache tutaona kama tanzania itakuwa salama
Kumbu nabishana na bashite aaaaaπ π π π π π πKwa wengine wapi hao? Wataje hapa, isitoshe hakuna niliposema kwamba haliwezekani.