Mkuu hili ni jipya kwangu,ningepend kujua nini hasa hupelekea mtu kuwa na upungufu wa kinga mwlini na kusababisha kupata magonjwa nyemelezi kama TB?msaada tafadhali
Jibu:
Kwanza kabisa ningependa uelewe kwamba upungufu wa kinga si kitu kikubwa cha kuogopa kama unavyokichukulia sasa,wewe unaona ukimwi ni kitu kikubwa na cha kuogopesha kutokana na kampeni za muda mrefu zilizoambatana na vitisho kwamba 'eti ukimwi hauna tiba na unasababishwa na VVU'.Ukimwi ni kifupi tu cha upungufu wa kinga mwilini,upungufu huu wa kinga kamwe HAUSABABISHWI na kijidudu chochote kile duniani kikiwemo hicho kijidudu HEWA ambacho hakijawahi kuonekana na daktari yeyote duniani kiitwacho HIV.
Kinachosababisha ukimwi;
Kwa kifupi ni 'lifestyle'.Lifestyle hujumuisha mambo mengi sana yakiwemo yafuatayo;
1.Lishe duni(lishe bora haihusiani na utajiri alionao mtu)
2.Utumiaji mbovu/usiostahili na wa mara kwa mara wa dawa za hospitalini kama vile antibiotics,pain killers nk.Na 'more specifically' kwenye mada hii,dawa za ARVs husababisha ukimwi.Hakuna mtu yeyote mwenye uwezo au hoja za kupinga hiki nikisemacho.Hata daktari hana uwezo wa kupinga ukweli huu.
3.Utumiaji wa muda mrefu wa dawa za kulevya kama vile heroin,cocaine,amphetamine nk.
4.Utumiaji wa mara kwa mara wa dawa za kimapenzi kwa mashoga na wasio mashoga.Kwa mashoga kuna 'recreational drugs' kama vile poppers nk.
5.Unywaji wa pombe kali kupindukia bila ya kuzingatia ulaji wa chakula bora.
6.Msongo wa mawazo wa muda mrefu.
Hayo ndio baadhi ya mambo makuu ya nayosababisha kinga ya mwili kushuka.Fanya utafiti wako binafsi sehemu ambazo kuna maisha duni ndio watu wengi sana huugua TB.Nilishawahi kusema kwamba huwezi kupata TB pasipo kinga yako kushuka.Sasa basi,hata wewe unajua kwamba si wote wenye TB wana HIV,kama hii ni kweli,tujiulize,kwa wale ambao wana TB lakini hawana HIV kinga yao imeshushwa na nini?Pia kuna watu wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs kwa muda mrefu sana lakini hawapati TB wakati TB siku zote iko kwenye mazingira yetu,kwanini?
Pia inabidi ufahamu kwamba,CD4 sio kinga ya mwili mzima(entire body immunity) kama wengi walivyokuwa brainwashed,CD4 ni sehemu ndogo sana ya kinga ya mwili,ndio maana kuna watu wana CD4 nyingi sana lakini bado wanaumwaumwa,pia kuna watu wana CD4 chache lakini wako safi kiafya. Immunology ni somo pana na complicated kuliko uwezo wa ubongo wa ma immunologists kuelewa.Hivyo CD4 ni missile tu ya kusambaza upuuzi huu uitwao HIV/AIDS kwa wajinga.
Kuna mengi ya kueleza,lakini kwa kifupi, fahamu kwamba uongo huu si rahisi ubongo wa watu wengi kuujua na hasa sisi waafrika, na hii inatokana na tamaduni za mwafrika kuwa mvivu wa kufikiri na kupinga kirahisi rahisi kila jambo analoliona jipya kwake bila hata kujihoji eti kwasababu mzungu ndio ameshasema hivyo.
Akili na ujanja waliotumia kutudanganya umelalia kwenye nyanja kuu zifuatazo,kutokana na jinsi walivyosuka uongo huu kamwe si rahisi watu wanaochukulia mambo kiwepesi kujua;
1.Historia ya HIV/AIDS;
Hapa wewe mwenyewe ni shahidi,umejionea mwenyewe watu tofauti humuhumu wanaelezea historia tofauti kuhusu suala hili,yaani maana yake hakuna anayejua ukweli uko wapi,kila mtu anaeleza ya kwake,huyu 'eti HIV ametengenezwa maabara kama bio-weapon' na wengine pia wanasema tofauti na hayo ,waliotudanganya ndivyo wanavyotaka tuwe hivyo,yaani tusielewe kitu.
2.Nadharia ya 'the so called HIV';
Kwamba eti HIV ndio husababisha ukimwi,hana dawa ya kumtibu,na anaambukizwa kwa njia ngono.Huu wote ni upumbavu mtupu na hakuna ukweli hata kidogo.
3.Vipimo 'eti vya HIV';
Hwa jamaa wamefanikiwa kuwaaminisha watu kwamba eti vipimo hivi vinapima HIV.Mtu akipewa majibu HIV+ anahangaika kama roho inataka kumtoka akiamini kwamba ndio ameshapata HIV(mdudu anayeua na asiye na dawa),inasikitisha sana watu hawajui nini kinachopimwa na vipimo hivyo.Vipimo hivi havipimi HIV bali hupima kinga ya mwili dhidi ya protini fulani ndani ya damu,kinga hizi dhidi ya protini hata kwa mama mjamzito zipo,mtu mwenye malaria kali zipo,mtu mwenye TB zipo....nk nk nk.Ndio maana HIV hajawahi kuonekana,kama huamini muulize daktari yeyote unayemwamini kama ameshawahi kumwona HIV kwenye damu ya mtu yeyote ile kupitia kipimo chochote kile,atakwambia hajawahi,sasa wanapima nini?Pumbavu sana hawa watu,halafu sisi tunawaona ndio wema,tunawatetea,tunakuwa vibaraka wao.
4.ARVs;
Eti ARVs ndio suluhisho pekee la HIV/AIDS.Sasa hapa ndiko kwenye mambo yote,hapa ndiko jama hawa walikodhamiria maana kuuza ARVs ndio malengo yao makubwa.Lakini je,unajua kwamba ARVs ndizo husababisha vile vifo tunavyoviona au kuvisikia kwa wale wanaozitumia?ARVs zimetengenezwa kijanja sana ili kuendeleza myth hii.Kwa jinsi zilivyotengenezwa ukiacha kutumia ARVs ghafla unakufa,hii imepangwa,haitokei kwa bahati mbaya,halafu mtu akifa watasema virusi vimeongezeka na kumwua,wengi wakisikia haya wanaamini kirahisi sana kwa kuwa ni kweli wanaona watu wanaacha na kufa.Je,watu wanaelewa ukweli wake kwa nini mtu akiacha ARVs ghafla anakufa?
Sehemu hii ni pana na ndio lengo langu kubwa lilipo kuelimisha watu ili wajiokoe wao na watu wao wa karibu.
Tutaendelea tupatapo nafasi.