Jinsi tulivyoiteka "Easter" nikiwa na shemeji yenu Maeneo!

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,288
15,238
C9ZeYj0XcAMRvBO.jpg
Kuku, Bata na Mapochopocho kwa wingi...Si mnajua shemeji yenu anapenda misosi. Baada ya hapo ikaonekana isiwe tabu, ngoja tukajiachie maeneo fulani hivi tuondoe chumvi ya mwili.

Basi, tukafika maeneo! Tulichezea sana Maji. Mithili ya watoto vile! Shemeji yenu kafurahiiiii.

Tuhakikishe tunatumia vyema hizi holidays kuondoa stress za maofisini aisee! Happy Easter wana Jukwaa!

picha na: Kambonile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom