Jinsi tabia ya kujibu kwa mkato meseji au unapopigiwa simu inavyoboa

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Hivi huwa ni hulka au mbwembwe tu, kwamba mpenzi au mwenza wako anakutumia ujumbe alafu unamjibu kwa mkato kama vile humjui au utaki akutafute.

Hata kama ni salamu, taarifa ama chochote wewe unakuwa ni wa mkato na kukausha. Kila siku unataka yeye ndiyo awe kwa kwanza kukutafuta wewe na majibu yako ni mkato. Akiamua kuwa kimya, unalalamika anakutenga ama hakupendi.

Hili jambo ni la kipumbavu katika mahusiano na maisha ya mawasiliano, kuna haja watu wajue nini maana ya;

1. Mawasiliano.
2. Mahusiano.
3. Kuheshimiana.
4. Kuzungumza.
5. Wajibu wao.

Ikiwa unamkataa mtu mkatae atambue na kama ni pozi siyo kwa wanaume wala wanawake, basi ni ulimbukeni.
Faida ya mawasiliano ni wewe na mwenzio kufikia maelewano.

Kushuka thamani wakati mwingine unakutengeneza mwenyewe.

Na mmmuhumba.
#imarika
#hakuna anayetafuta mapenzi ili akateseke.

20230127_203841.jpg
 
Hivi huwa ni hulka au mbwembwe tu, kwamba mpenzi au mwenza wako anakutumia ujumbe alafu unamjibu kwa mkato kama vile humjui au utaki akutafute.
Hata kama ni salamu, taarifa ama chochote wewe unakuwa ni wa mkato na kukausha.
Kila siku unataka yeye ndiyo awe kwa kwanza kukutafuta wewe na majibu yako ni mkato.
Akiamua kuwa kimya, unalalamika anakutenga ama hakupendi.
Hili jambo ni la kipumbavu katika mahusiano na maisha ya mawasiliano, kuna haja watu wajue nini maana ya
1. Mawasiliano
2. Mahusiano
3. Kuheshimiana
4. Kuzungumza
5. Wajibu wao

View attachment 2497612
One Man Down I repeat
We need Backup Over
 
Umeandika kwa uchungu sana
 
Mimi naonaga ni kuchoshana tu,nipigie mala moja tena iwe mchana au jioni

Sio asubuh tu sms za kusalimiana kwan zinafaida gani au asubuh tu unataka tuongee weee kwenye simu muda mrefu

Mimi napenda simu niwe napigiwa hata mara tatu tu kwa wiki na mpenz wangu au mke wangu,simu za kila siku au kila muda huwa zinanichosha sana
Wazee wa kusema "nambie "
 
Hizo ni dalili za kukataliwa! Kifupi hupendwi!
Mtu unayempenda hutatamani umkatie simu na Kama msg ni mwendo wa waraka wa mtume Paulo
Sema jamaa kashapenda sana hata alama za nyakati hazisomi.

Msichana ukimtongoza kigezo cha kwanza ni ile ari ya kuchati na wewe. Ukipuuza hapo jiandae kuzikwa nyumbani kwa wazazi wako badala ya kwako.
Tabia zingine huwa zinaonekana kwenye early stage sema huwa tunapuuza
 
Back
Top Bottom