Wewe ulikuwa unafanya kazi gani mkuuKInachokupa shida sio kuoa, ni kupenda ... ona ilivyokuwa kwangu ...
Nilipomaliza masomo (nikiwa na miaka 22) tayari nilikuwa na mchumba ambaye naamini tulikuwa tunapendana sana. Alipenda kunitembelea nyumbani jambo nililoliona kama ni kero; hivyo niliamua kupanga chumba. Ili mambo yaende sawa ilibidi nimfanyie mpango wa kazi ili aweze kutoka nyumbani kwao moja kwa moja. Na hiyo ndo ilikuwa staili yangu ya kuoa. Mambo mengine niliyarekebisha wakati tunaendelea kuishi.
Kwa sasa nafurahia kuwa na watoto wakubwa ambao tunasaidiana kwa mambo mbalimbali.
Kuoa mapema kuna raha yake.
Kinachooa sio hela. tusidanganyaneTatizo sio kuoa mapema,tatizo ni hela,tafuta pesa
N kweli.But kama.unaona moyo haukutumi hilo swala piga chini jipange mzee unahitaji 4 yrs to come ili uweze kuoa na kuwa huru zaid wasikuharibie ujana.Ni kweli mkuu na hicho ndicho sipendi
Nashindwa kuiita biashara kwa kuwa haikuwa rasmi. Nilikuwa nanunua kopa wire na aluminium - scraper nasafirisha kupeleka Nairobi Kenya, nikifika huko nanunua bidhaa zingine naingiza Tz nauza kwa jumla.Wewe ulikuwa unafanya kazi gani mkuu
Inategemea na situation iliyopo,koo nying za kitanzania kuendelezwa na watoto wa kiume,watoto wakike huhama koo baada ya kuolewa,that why wazaz wakakomaa dogo aoe,na sabab kuu anayotoa kijana ni uwezo kidogo wa kifedhaKinachooa sio hela. tusidanganyane
Sasa mleta mada aombe apate mtu mwenye uelewa na aawe tayari na life style hiyo akipata mtu mwenye ideology kama yangu hakika ndoa inakuwa ndoanoYeah Wazaz huwa wanaendesha kila kitu.hapo wanawake lazima ujute maana mpaka wakwe waamue ndio jambo linatendeka.
Nlimuabia hilo kwenye comment zangu za juuKInachokupa shida sio kuoa, ni kupenda ... ona ilivyokuwa kwangu ...
Nilipomaliza masomo (nikiwa na miaka 22) tayari nilikuwa na mchumba ambaye naamini tulikuwa tunapendana sana. Alipenda kunitembelea nyumbani jambo nililoliona kama ni kero; hivyo niliamua kupanga chumba. Ili mambo yaende sawa ilibidi nimfanyie mpango wa kazi ili aweze kutoka nyumbani kwao moja kwa moja. Na hiyo ndo ilikuwa staili yangu ya kuoa. Mambo mengine niliyarekebisha wakati tunaendelea kuishi.
Kwa sasa nafurahia kuwa na watoto wakubwa ambao tunasaidiana kwa mambo mbalimbali.
Kuoa mapema kuna raha yake.
Na immagine kama una kijana wako wa kiume halafu ukaona katulia hata haangaiki na K we jamaa unaweza ua [emoji23]Mbona hizo changamoto ni za kawaida,au mashine haisimami?
Heri tu awakatalie aisee.mambo ya kulazimishwa kuoa na jinsi nyuzi zinavotiririka humu ndani za watu kuibiwa wake n balaa.Sasa mleta mada aombe apate mtu mwenye uelewa na aawe tayari na life style hiyo akipata mtu mwenye ideology kama yangu hakika ndoa inakuwa ndoano
WE JAMAA NI BROCKER?Then anza kuhustle kivyako na wewe mdogo mdogo anza kutengeneza connection zako taratibu. Lasivyo always watakuwa wanatumia hiyo kama fimbo ya kukuchapia, kwasababu sasahivi itakuwa ni issue ya kuoa, next time pia watataka kwaajili ya issue nyingine. Yaani itaendelea hivyo hivyo. Always using their connections as leverage ya kuku-direct wewe cha kufanya.
Ni kweli kinachooa siyo kazi.Kinachooa sio hela. tusidanganyane
Aoe pale atakapopata mwenza sahihi awe na kazi asiwe nayo huyu inaonekana kwa sasa hata mahusiano serious hana alishapeleka tangazo mpaka love connect anatafuta mke,kwa sasa atulize kichwa aoe atakapopata mtu sahihi yuko under pressureHeri tu awakatalie aisee.mambo ya kulazimishwa kuoa na jinsi nyuzi zinavotiririka humu ndani za watu kuibiwa wake n balaa.
Wamwache amalize shule aanze hata kazi walau then ndio aoe.Hata sasa anaweza asipate mtu sahihi maana kalazimishwa.
Siwezi oa kwa kukazimishwa kabisa bora nikae mwenyewe na maisha yangu.Kuwa na msimamo dhabiti....simamia unachokiamini kwa mustakabali wa maisha yako.......kaa na baba yako....ongea nae kwa upole wa hali yajuuu...atakuelewa......kuoa kwa kulazimishwa sio kuzuri hata kdg.....hahahahahaaaaa...kwanza ukute ushatafutiwa bikraaaaaa kigori.....wapo hao kwanza.....sorry for jokes.....but be real man.....
Nilivyokuelewa wewe ni kuwa hautaki kuoa ?Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu.
Kinachoniumiza ninahisi hata muda ukienda nitakuwa sipo tayari pia.
Ha haaa chuon kupata serious wife material n ngumu sana.wengi wanafaa kwa short time use kwa jinsi wanavo behave.Nililiona mkuu, maeneo niliyopo naona kila mwanamke ni wa thamani zaidi.
Si unajua chuo mkuu?