Sawa sawa mkuu.
Mke mwema kwa sasa ni shughuli nzito sana kumpata.
Wengi wako kimaslahi.
Daah yaani hapo ndio changamoto.Haaa mkuu, kwa upande wangu kila nkitongoza demu ambae naona anaweza faa kuwa mke wangu its either:
1)Ataniomba pesa ndani ya wiki moja tangu tufahamiane
2) Atakuwa hanipendi kihivyo
So kupata mke inakuwa kaazi ngumu Devion
I wish ningekuwa msukuma.ningepiga mashine mimi afu babu yao akaleeTatizo ulilonalo huna mpenzi wa kuoa,ungekuwa nae ungeoa wasukuma wengi ndo walivyo wanahudumia watoto wao wa kwanza wewe kazi yako inakuwa kudinya tu na kuendeleza kufatilia shughuli za mzee
Pole sana mkuu uliingia ndoani ukiwa na umri ganiMoja ya majuto niliyonayo maishani ni kuchelewa kuwaza kuhusu ndoa. Ndoa kwa ujumla haina kuchelewa wala kuwahi, vyote ni sawa nut natamani sana kama ningewahi ....
Ndoa ni jambo jema sana ila tu kama utampata mwenza mwema.
Hapo sawa mkuu itabidi umakini uwepo kwa mtu ninayetaka kumuoa.Mkuu devion sio wewe tu suala la kuoa kwa sasa ni changamoto sna kwetu ss vijna lkn tafuta mtu ambae unaona mnaeweza kuendana nae muangalie back griund yake ndg zke origin yke na anafanya nn kwenye mausha ukiridhika muoe endeleni kutafuta maisha pmja mkishirikiana kupanga mambo yenu na kuomba Mungu awaongoze ktk maisha yenu hutajuta trust me
Kasema yeye ni mkurya wasukuma wana mila hiyo mtoto wa kwanza wa kiume,mimi nlikuwa huku lakini inategemea na aina ya mwanamke kwa mimi siwezi napendaga ile manhood mwanaume atimize si baba mkweI wish ningekuwa msukuma.ningepiga mashine mimi afu babu yao akalee
Sawa ngoja nipambane kutafuta mke mkuu, ukimuona huko niambie.[/QUOTE]
🙂🙂🙂 sawa mkuu nitamshika mkono kabisa na kumleta kwako mpe mzee furaha yake uzee mzuri ni kucheza na wajukuu kupikiwa na mkwe.Mpe furaha mzee
Teh teh hutaki masimango ya ndugu.ni kweli aisee vya kupewa na watu nyuma maneno hayaishi.Kasema yeye ni mkurya wasukuma wana mila hiyo mtoto wa kwanza wa kiume,mimi nlikuwa huku lakini inategemea na aina ya mwanamke kwa mimi siwezi napendaga ile manhood mwanaume atimize si baba mkwe
no siyo masimango mimi ni mtizamo wangu huo mwanamme ndo natakiwa atake care of his family not his daddy,incase akiwa hayupo sawa ila mimi mwanaume wa kunioa mkwe atimize kila kitu hapana aisee kwanza mimi mwenyewe mpambanaji ninakuwa najiskia vibaya sana nlishakuwa na mahusiano na familia ya dizaini hiyo yaani nlikuwa najiskia vibaya sana ila mwanaume yeye anaona kawaida tu na kwao wote wanaoa kawaidaTeh teh hutaki masimango ya ndugu.ni kweli aisee vya kupewa na watu nyuma maneno hayaishi.
Ni kweli aisee.hakuna hela tamu kama ya jasho lako mwenyewe.Hyo ya mtoto kuhudumiwa kila kitu mara nyingi unakuta ni wale precious baby kwao.Wazaz wanadekeza hadi akiwa mkubwaano siyo masimango mimi ni mtizamo wangu huo mwanamme ndo natakiwa atake care of his family not his daddy,incase akiwa hayupo sawa ila mimi mwanaume wa kunioa mkwe atimize kila kitu hapana aisee kwanza mimi mwenyewe mpambanaji ninakuwa najiskia vibaya sana nlishakuwa na mahusiano na familia ya dizaini hiyo yaani nlikuwa najiskia vibaya sana ila mwanaume yeye anaona kawaida tu na kwao wote wanaoa kawaida
Acha tu na ukiolewa na familia hiyo ni shida wazazi na ndugu ndo wenye sauti yaaniNi kweli aisee.hakuna hela tamu kama ya jasho lako mwenyewe.Hyo ya mtoto kuhudumiwa kila kitu mara nyingi unakuta ni wale precious baby kwao.Wazaz wanadekeza hadi akiwa mkubwaa
Yeah Wazaz huwa wanaendesha kila kitu.hapo wanawake lazima ujute maana mpaka wakwe waamue ndio jambo linatendeka.Acha tu na ukiolewa na familia hiyo ni shida wazazi na ndugu ndo wenye sauti yaani