mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
![]()
hadi mimi mwenyewe wamenichomoa hapo
Mimi kuna mijamaa ilinitokea kutaka kuniibia kwa style hii, baada ya kushituka na kuona hiki kijiko nikakaa hapo. Jamaa wakashindwa kunibeba, kila walivyojitahidi walishindwa mpaka asubuhi watu wakawakutia na kuwashika kisha kuwaua na kuwachoma moto.