Jinsi Simu Zinavyoibwa Usiku Kupitia Dirishani

Jinsi Simu Zinavyoibwa Usiku Kupitia Dirishani

Dah. Mimi waliwahi kunikwapulia sim zangu mbili. Ila walitupa line nje ya dirisha. Waliniudhi sana but niliwasamehe bure...
 
attachment.php

hadi mimi mwenyewe wamenichomoa hapo

Mbona kama gesti hapa mkuu
 
hawa jamaa walitungua suruali yenye vitambulisho, mpaka Leo nna hasira nao.

...dah,mi Lindi walinipiga vitambulisho,mapene yote hadi busta ya babu,wakaniachia tiketi ya bus tu blalfuu!
...mwenye guest ndo akanitoa mabovu ya kula njiani!
...hadi leo sijawasamehe!
 
Hiyo njia wanayotumia kuiba,wanaiita JORDAN.....hahahahah


Haaa, hiyo sio Jordan kaka, Jordan inakuwa na kinyavu cha kuchotea kwa mbele, hivyo simu inaingia ndani ya kikapu kama unavua samaki hivi
 
Usiku wa kuamkia tar 26 tumenusurika kuibiwa...wameishia kuharibu kutasa..shenzi sana Hawa
 
Nakumbuka kuna siku wakati nimelala nikasikia kama kitu kinanipapasa......kufumbua jicho nakutana na mwanga wa tochi kuelekea mezani nilipokuwa naichaji simu yangu.........
Nikanyanyuka taratiibu kuelekea dirishani pale walipotoboa......nikachukua mkuki wangu ambao huwa naakaaga nao pembeni mwa kitanda......taraatibu na kwa ustadi mkubwa nikalenga ule mkuki kuelekea unapotokea ule mwanga wa tochi.....nilichoma kwa nguvu zangu zote na kwa shabaha ya hali ya juu bila ya kujua kuwa nililenga sehemu gani mwili.....ninachokumbuka mara ya mwisho ni sauti inayoashiria maumivu kutokea upande wa pili wa dirisha kuliko ambatana na mbio kali.......huku wakiniachia kitendea kazi chao......
 
...dah,mi Lindi walinipiga vitambulisho,mapene yote hadi busta ya babu,wakaniachia tiketi ya bus tu blalfuu!
...mwenye guest ndo akanitoa mabovu ya kula njiani!
...hadi leo sijawasamehe!

Lindi ni majanga zaidi tena kwenye magesti.
Niliibiwa begi zima na asubuhi yake nilikua na Presentation.

Yani nimetoka jioni ile kwenda kula, narudi nikakuta washafanya yao.
 
Kuna kaka yupo Nachingwea alikua mtaalam sana wa kuwaotea.
Alikua anatulia mpaka aone mkono.
akiung'ang'ania lazima autie alama.
 
Nilishawai kutoa offa kabambe kwa wale wataalamu waje nionane nao tuzungumze sikupata hata mmoja alietayari tuongee...
 
Mi washaniibia laptop na simu nilikuwa nimelala navyo na nimeweka net, walifungua dirisha la vioo wakachana net wakaiba, kuamka asubuhi siamini kilichotokea niliona kama naota.
 
Kwa uzoefu wangu hiki ni kitanda ni cha gesti,na hapo ni guest house
 
Lindi ni majanga zaidi tena kwenye magesti.
Niliibiwa begi zima na asubuhi yake nilikua na Presentation.

Yani nimetoka jioni ile kwenda kula, narudi nikakuta washafanya yao.

...aisee!..maskini,begi zima?!
...mi nilichukulia poa nikawaona mandezi hawana ujanja huo,kumbe nao wamo!
...ila fresh,ipo siku watajitera tena watajaa tu kwenye 18!
 
Back
Top Bottom