jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,385
ha ha ha haaaa
aisee mkuu nimecheka sana..
usiku mwema.
Umeamka au bado umelala?
ha ha ha haaaa
aisee mkuu nimecheka sana..
usiku mwema.
Hebu tujikumbushe jamani simu yako ya mkononi ilihatarisha vipi mahusiano yako au kuyaua kabisa. Simu hizi za mikononi zimekuwa na siri nyingi na wakati mwingine zimekuwa chanzo kikubwa cha kuua mapenzi.
Pia wachumba wamekuwa wakiachana kwa sababu ya simu hizi, wanandoa wamekuwa wakigombana kwa sababu ya hizi simu. Pia hata hii michepuko imekuwa ikiwepo kwa kuwa kuna njia rahisi yaani simu ya kuweza kuleta mawasiliano.
Karibuni tujadili