Jinsi shetani anavyopotosha wanadamu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,747
Ulimwengu mzima kuanzia dini ya uwongo,mifumo ya kisiasa yenye ufisadi,mifumo ya kibiashara yenye pupa yaani kupata hela ya haraka haraka yote iko chini ya ibilisi.kwa hiyo shetani na roho wake waovu huwashawishi watu wenye mamlaka waseme uwongo.kwa mfano unaweza kuona wafanyabiashara maarufu wanapowashawishi watu kupitia matangazo ya biashara wanunue bidhaa zinazodhuru na wajiingize kwenye miradi iliyokusudiwa kuwalaghai.ole wenu viongozi na watawala ambao mmeruhusu haya mambo kwa kuwa mnajua mnapata kodi mmeruhusu sigara, mmeruhusu kamari,kibaya zaidi mmeruhusu Hadi biashara ya silaha.mnatupumbaza kwamba tunapata amani na usalama kumbe uharibifu wa ghafla unazidi kutupata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom