PostGE2025 Jinsi Samia anavyoongelewa huko Oman

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,512
Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.

Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.

Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na kwamba ana mizizi yake ya kidugu nao wanamshangaa?

Embu jioneeni wenyewe. Post original ni hiyo ya kiarabu kitupu. Hizo zingine nimetumia google kutafsiri.

Huo mtandao nimechunguza ni halali kabisa na siyo feki.

Screenshot_20251204_015447_Instagram.jpg

Screenshot_20251204_015441_Instagram.jpg

Screenshot_20251204_115448_Google.jpg
 
Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.

Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.

Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na kwamba ana mizizi yake ya kidugu nao wanamshangaa?

Embu jioneeni wenyewe. Post original ni hiyo ya kiarabu kitupu. Hizo zingine nimetumia google kutafsiri.

Huo mtandao nimechunguza ni halali kabisa na siyo feki.
Dubwasha
 
Mkiambiwa form 4 alipata D moja ya kiswahili muelewe
 
Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.

Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.

Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na kwamba ana mizizi yake ya kidugu nao wanamshangaa?

Embu jioneeni wenyewe. Post original ni hiyo ya kiarabu kitupu. Hizo zingine nimetumia google kutafsiri.

Huo mtandao nimechunguza ni halali kabisa na siyo feki.
Afadhali wamefahamu ukweli Ili akisikia amekimbilia Kwa wajomba zake wajue sababu
 
Ukiona mataifa jiran yako kimya na ushind wako jitafakar sanaaa na ndan kuna mpasuko
 
Nepotism is core tenet of Arabism.

Even Islam is not spared of this Arab Nepotism. Its next to impossible to find an Islamic ruler who does not try to run a state like a family business.

Its a diabolical trademark evident all over the Middle-East and Africa.​
 
Back
Top Bottom