Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,473
2,000
Mkuu usihangaike na watu kama hawa ambao hawajui nini kinaendelea duniani.
Aisee Mkuu Kuna haja tuangalie upya mfumo wetu wa Elimu Aisee kama kijana nasikitika sana kuona vijana wenzangu na wazee wazima hawajui Dunia Yao inaendaje Aisee,
Huu Sasa utakua wajibu wetu kama wanajukwaa tunabahatika angalau kufuatilia vitu kuwahabarisha ndugu zetu walio gizani maana ipo siku Moja ndugu zetu watakuja kuona vitu vya ajabu wakadhani ni miujiza kumbe man made!
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
10,537
2,000
Good thinking mkuu.Watu wengi hawatumii akili kabisa.
The funny thing is just last week nilikuwa nawaza haya mambo. Kuwa wazungu wapo busy kuexplore ulimwengu nje ya dunia.

Why wanahangaika na kutafuta uwezekano wa kuishi nje ya dunia?!

So it means ile story ya mwisho wa dunia watu kunyakuliwa is not as magical is we think it will be, i think itakuwa ni scientific na itahappen as kama kwenye filamu vile tukiona watu wanaishi nje ya sayari.

Waafrika kimsingi tutabakia kushika mkia. Maana wenzetu wanaplan kutafuta pa kupeleka watu wao just incase dunia ikiharibika ila sisi mipango yetu imekaa kwenye upigaji.

Ask yourself. Hizi nyuklia power siku wakibutuana hapa na kuachia mabomu dunia nzima hivi itakuwaje sisi tutajificha wapi?!
 

Jkl

Member
Nov 22, 2019
17
45
Mm nilowahi soma sehemu kuna hadi technology za kuprint human organ
Hadi gari walisema linaweza kua printed except some few parts ndo hyo technology haiwez
 

laurentie

Member
Feb 24, 2012
91
225
Katika hali ya kawaida huwezi print chakula hasa kilichopikwa hata kibichi kinachofanyika ni kutengeneza vyakula vibichi maabara as gmo (genetic modified organism) ambavyo vinaandaliwa maabara sio kulimwa mfano cabage zipo hata mayai
So hiyo hoja ya kuprint 3d chakula hapa ni uongo jiongeze hata kwakushghulisha ubongo
Ni kweli maarifa yameenda mbali sana wana clone miili ya viumbe hai ila utashi ndio unasumbua ndio ambao unafanyiwa kazi bado
 

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
6,549
2,000
Bado sana kufika mars maana mars core is dead cold it does not generate magnetic fields
 

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,473
2,000
Wakati huo Mungu atakua wapi?

Kila nafsi itaonja mauti!!
wakati huo Mungu ataendelea kua vichwani mwa Watu Kama wewe,wakati huo wenzio watakua wamekamilisha project Yao,
Ndio Kila nafsi itaonja mauti kama ilivyo kawaida ila haitazuia wenye fahamu zao kuendeleza kazi!
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
9,582
2,000
Hilo jambo lishafanyika hayo yatakua marudio....that means waliofanya hivyo mwanzo wanaenda fanya tena saaame thing
 

don classic

Member
Aug 24, 2020
24
75
endelea na akili zako za usiku Huyo Mungu unaesema yupo walimtengeneza wao na wakakuletea na wamekukaririsha na kukujaza upepo na umejaa
Fuuuuuu Nenda kawaulize hao waliokuambia Kuna Mungu uone Kama wao wanaamini yupo!
Kiufupi Bado hujaijua Dunia inavyoendeshwa ndugu yangu,
Huyo Mungu aliyeko na unaemuwaza kwenye akili zako hayupo na ambaye yupo hayupo na hafanyi hayo mambo ambayo wewe umekaririshwa anafanya na unajitesa kwayo,
Dini,Imani na masalia ya yake ni programing project iliyoandaliwa Kwa usahihi Sana Ili kuteka watu kisaikolojia kabla ya project kamili
Kama unabisha Leo usiniulize kwanini dini Zimeanza ibuka Karne ya 7 tu Tena AD na wakati Dunia Ina mamilion ya miaka hao watu wa nyuma waliishije?

Wake up dude,funguka akili be free utaujua ukweli ingawa itakua ngumu Sana kukuamsha uamke!
Sound like kweli vile, ila n wewe jiulize. Kama ni kweli huyo Mungu walituletea? Wako wapi waliotuletea? Wamkeufa sio? Hawawi sehemu ya hiyo mbingu yako uliyoileza sio? Wanafaidika nini kwa kuanzisha project ambayo wan uhakika hawatajua mwisho wake? Ukiweza kudadavua hii vizuri nitarudi
 

Kipanga boy

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,296
2,000
hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?
Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa
Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
Wataweza kuwafufua waliokufa?
 

KMMS

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
288
1,000
Inatafakarisha Sana,Inamaana
1:Uumbwaji Wetu Nani Muhusika?

2:Vitabu Vitakatifu Vilikujaje,Nani Muhusika?

3:Yaliyotabiriwa Katika Vitabu Vitakatifu Nani Muhusika Maana Yapo Yaliyotabiriwa na Sasa Yanaonekana.

4:Lile Jiwe La Chumvi (Mwanmke Aliegeuka Jiwe la Chumvi)
Kule Sodoma Na Gomora Limetajwa Katika Biblia,Nayo Ni Mission?

5:Uponyaji wa Wagonjwa Kupitia Maombi Nayo Ni Mission?

6:Uchawi,Miujiza,Viumbe (Majini,Wanyama,Wadudu,Mimea nk) Nayo Ni Mission?


Your Not Sirius Brother,
Niishie Hapa Kwa Muda,Ukinisaidia Uelewa Katika Haya Tutaendelea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom