KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha.

Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya afya hua hilitimii linaishia mdomoni na kwenye karatasi kwenye ofisi za makatibu wakuu afya,, tangu Ummy Mwalimu hadi leo Mchengelwa jambo hili limeishia vinywani.

Muundo upo na umeandaliwa tangu 2022-2023 lakini hadi leo haujawahi tekelezwa kwa hospital za Level ya Rufaa Mkoa hadi zilizo chini ya OR-TAMISEMI muundo huo umebakia kutekelezwa kwa baadhi ya taasisi za afya kama Muhimbili, Ocean Load, Benjamin MH, na nyingine za kitaifa,, ili hali viwango vya maisha vimebadilika kote sio mijini na Jijini tu hadi huku vijijini hali ni mbaya sana mishahara haiendani na uhalisia wa maisha ya sasa,,, mishahara haiendani na viwango wa elimu ya sasa Bachelor nursing amekaa darasani miaka 4 na internship mwaka 1 lakini hadi sasa anapokea mshahara wa degree ya miaka 3 TGHS C anapoanza kazi,, Bachelor Pharmacy ambae yupo sawa nae kielimu analipwa TGHS D.

Hii haiko sawa hata kidogo!

Vyama vya kitaaluma vimefungwa midomo kuzungumza ukweli kwa kuwekewa viongozi wachumia tumbo na wenye hofu ya kusema kweli, hali hii imechangia pakubwa kuondoa morali ya kazi na kutowajibika.

Serikali isifurahie ukinywa wa hii sekta, itatue changamoto za watumishi ili kurudisha hali ya uwajibikaji, na morali.
 
Kama amani bado ipo tuendelee na kazi. Hizo haki zenu muda ukifika mtapata.

Wajibu kwanza haki baadae.

Amani kwanza haki baadae.

Kazi na utu, tunasonga mbele.
 
Bachelor nursing amekaa darasani miaka 4 na internship mwaka 1 lakini hadi sasa anapokea mshahara wa degree ya miaka 3 TGHS C anapoanza kazi,, Bachelor Pharmacy ambae yupo sawa nae kielimu analipwa TGHS D.
Degree zote za Afya Miaka 5 ni TGHS E. Degree zote za Afya Miaka 4 ni TGHS D. Degree zote za Afya Miaka 3 ni TGHS C.
Diploma zote za Afya ni TGHS B. Certificate zote za Afya ni TGHS A.

Wasiliana na HR wako, akufanyie marekebisho.
 
Back
Top Bottom