bernabella
Senior Member
- Apr 4, 2021
- 168
- 243
Wewe si ndio yule msukuma
Huyo mama ulipofika bongo ulimtafuta?Aisee acha tu kaka,lakin kukosea ndio kujua
Ukweli ndio huu... yan unataka maisha yawe rahisi haraka sana lazma uumie"Shortcut always is wrong cut " Nimemsahau alietoa hii falsafa.
Nilimtafuta lakin hatujawahi onana mpka leo hii na namba naona kabadilisha kwasababu nilikua nikimtafuta mara kwa mara na kumuomba kama atafanikiwa kufika bongo basi tuonaneHuyo mama ulipofika bongo ulimtafuta?
Ikipungua fanya uende ukapumzike kidg mkuuNimepamis sana KAMPALA MULUNJINYO MUKWANO WANGE. Sema hii covid 19 imezingua sana
Hata kushikwa mkono kupelekwa ofisini kupo ndugu yangu inategemea tu huyo aliyekushika mkono ufunguo wake unafungua hadi wapiKazi za serikali ni ngumu sana. labda mtu akusaidie kwenye mchakato wa ajira na si kukushika mkono kwenda kazini
Vijana washenzi sana wale.....😁😁😁😁Bora huko telegram kuliko kutuweka watu wazima mwezi mzima tukisubir episodes kama bwana Keagan Paul na mwenzake konda msafi
Nilichojifunza hadi sasa hivi ni kwamba kabla mtu hajatapeliwa huwa anaanza kujitapeli mwenyewe kwanza!
Hao matapeli wazuri sana yanJion yule mama alinitumia sh laki nne na nusu kisha akaniomba radhi mno na kudai kuwa atakapo rudi tutakaa na kuongea na atanitudishia kiasi nilichopoteza kwa wale watu washenz
Bora huko telegram kuliko kutuweka watu wazima mwezi mzima tukisubir episodes kama bwana Keagan Paul na mwenzake konda msafi
Nlimpa jamaa yeye alinambia atamalizana nao.Kwa hiyo mkuu hiyo 1.2mil. ni kuhonga ili uajiriwe au zilitumika kwenye process fulani
Huyo mama tapeli kubali kataa,yupo na huo mtandaoNilimtafuta lakin hatujawahi onana mpka leo hii na namba naona kabadilisha kwasababu nilikua nikimtafuta mara kwa mara na kumuomba kama atafanikiwa kufika bongo basi tuonane