Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,185
Ni kitendo cha kawaida sana kw sietuliosoma boarding shule za kiume.kwanza kitendo cha kutoka nje usiku wa manane na kwenda kukaa chini ya mti peke yako si kitendo cha kawaida.
Pale Tosa boys enz ile hiyo ilikua ni mida ya kawaida sana na movement za watu kuingia na kutoka private prepo ziko zinaendelea.Plus mitandao ya cm enz hizo longa nae au chombeza time tulikua tunaongea na madem zetu w iringa zoo au ifunda girls