Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa!

Kweli hawa jamaa wanakuwa na gari nzuri wanavaa kiofisa kama bankers huna shaka nao kama ni wezi mataperi
 
...Una bahati umekutana na matapeli wasio wazoefu, kitendo chako cha kutoka ndani tu na kuwa pamoa nao ungepuliziwa dawa fulani na kukupoteza kabisa fahamu zako, ungezindukia jangwani huku kimilioni chako kikisombwa...
Daah! Nashukuru Mungu aisee!
 
Kweli hawa jamaa wanakuwa na gari nzuri wanavaa kiofisa kama bankers huna shaka nao kama ni wezi mataperi
Ndio mkuu,

wanakutoa wasi wasi na wao kwanza ili wakupige vizuri!
 
Siku zote tapeli anamtafuta mwenye tamaa, kama unaweza kupata hela ya chapchap lazima uingie kingi
100% unaingia king mimi niliponea chupchup mkuu, ningepigwa tena mchana kweupeee
 
Hahaaaa yani hata wewe hukufikiria haraka eti million moja,kirahisi rahisi tu,hakuna pesa ya bure
 
Yaani akuamini kukupa usd elf 15000 ukamchenjie alafu hapo hapo anadai hakuamini umwachie hela zako? Utapeli wa kitoto kabisa huu. Eti anaogopa kutembea tembea, mbele ya hela kweli?
 
Yaani akuamini kukupa usd elf 15000 ukamchenjie alafu hapo hapo anadai hakuamini umwachie hela zako? Utapeli wa kitoto kabisa huu. Eti anaogopa kutembea tembea, mbele ya hela kweli?
Kweli mkuu mhimu kuwa makini tu na njia tunazopita....bhass
 
mkuu wewe ni mafia nimekukubali [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ila ulikua unaribia kibra
 
Ngoja waje wanitokee mm tena nikiwa bank nawakomalia wasitoke had kwa mapolisi wale wa bank! Hapo ndio watakoma kuingia bank.
Hahaaa
 
Pole na hongera kwa kufuatilia mpaka ukaujua mchezo wote! Naamimi utakuwa umesaidia wengi. Nikishauri tu uitaje hiyo benki ili hata wao watoe tahadhari stahiki kwa wateja wao.
 
Duh kama mm ilikuwa mwaka 2013 mliman city crdb mm ilibadilika kidogo mwenye pesa dollar alikuwa mmama kiswahili utadhan kashuka kutoka mtwara Leo mm pia nilifika stage zote kama ww nilikuja stuka jamaa ananiambia tukamchukulie lodge huyu mama...!
Nilimuuliza jamaa HV ww haupo nae huyu mama kweli?
Jamaa anashindwa kueleza ukimuungalia usoni mama wa watu anakapua in abnormal way nikawabia mm sitoki nje ya mliman city kama deal bora linishinde.
Sijui kitu gani kilinipush kiukwel sikuaga niliondoka zangu na kurud bank.
Toka siku hivyo nilijifunza kutokuwa na iman na MTU yeyote hasa ninapokuwa na pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…