Jinsi nilivyomnunua demu wangu mwenyewe sudani temeke

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,000
46,100
Hili Ni tukio la kweli kabisa limenitokea Nilipata demu anaitwa enjo mitaa ya kariakoo nikamtongoza akakubali, nilifanya naye mapenzi Mara moja tu, tukawa tunaendelea vizuri na mahusiano nilimwambia mi niko busy Sana na kazi kwa hiyo tukawa tunawasiliana mdogo mdogo.sasa Kuna siku Mimi nikaenda mitaa ya temeke kwenye ishu fulani ya kibiashara rafiki angu mmoja fundi magari akanishauri tukagonge malaya wa pale sudani nikaona fresh tu sio mbaya Sasa nikaingia kwenye chocho zao ilikuwa mida ya saa moja jioni nikachungulia kwenye chumba kimoja nikamuona mdada kajilaza kajibinua SI ndio nikaingia,,la haulaaaa ni yule yule demu wangu enjo.nikashindwa kumuuliza kitu nikamwambia shingapi nikupe unipe mchongo akawa amekaa kimya nikamwambia sema usiogope akasema buku nne me nikampa buku tano.nikamla japo sikuweza ku piz akanitoa akasema namchosha.nikachomoa sijamaliza nikawa nimekaa naye kitandan dakika Kama tano hivi wote tupo kimya.mwishowe nikamwambia fresh nitakuwa nakuja kama mteja wako akaniambia hataki nije kwake niangalie Malaya wengine vyumba vya jirani..me nikamwambia lazima nimnufaishe mtu wa karibu kwanza.nikaondoka kesho yake nikaamua kurudi kumuona Tena sikumkuta nikarudi Tena kesho kutwa yake sikumkuta Basi ndo tukawa tumeachanaga kihivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom