Jinsi nilivyofedheheka: Ati Niliitwa "MSOMI MALAYA"....

Duh! Aibu iliyoje. Ningekuwa mimi ningehama kijiji. Naomba Mungu isije kunitokea maana ni bonge la zali
 
.. Halafu nilipomwangalia kwa makini yule niliyedhani ni yule binti,nilitamani kupiga yowe kwani alikuwa ni mama yake mzazi!..

Sipati picha ambacho kingekutokea gizani, iwapo ungekuwa kutaka umeanza kum-denda huyo "mpenzio". By the way, asante kwa stori nzuri.
 
Bado uko nae au ulivyolipiza tu mambo yakaishia hapohapo
 
Back
Top Bottom