Jinsi nilivyo fedheheka

Jinsi nilivyo fedheheka

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,676
Reaction score
3,143
Duh!! Nikama miaka hivi umepita ila leo nimekumbuka. Nikiwa kama security guard kwa nyumba ya balozi mmoja hapa bongo. siku hiyo balozi aliniaga kuwa yeye na familia yake watsafiri kwenda mikumi kula shushu. Lakini kuna mgeni wke atakuja kesho yake kukaa pale mpaka atakaporudi ili mradi apunguze gharama za hotelini.

Basi kesho yake mimi ndiyo nikawa nightshift. Ile inafika mida ya saa moja tu honi getini. kucheki fresh kumbe ndo yule mgeni. kama kawaida ya kazi ya ulinzi haitaki haraka. nilimchukua maelezo then nikamkaribisha ndani. Huyo mgeni alikuja kufanya reseach flani hivi. lilikuwa toto la kizungu lakini kama lina shape flani ya kibantu hivi. yaani kuliona tu nikapata full mzuka wa kuligegeda.
Wellcome and fill at home. nilijichekesha kimombo na lugha ya kuungaunga. Nia yangu nimshawishi kuwa baada ya kumailza kuoga atoke tupige story.

Basi bhana ilipofika mida ya saa tatu hivi nikaona toto linatoka tena na kikombe cha kahawa mixer ziwa. kwa kuwa nilikuwa nina six tena ya HGL. Nikaanza kutema yai na mtoto story za kibongo bongo. na za mbele almost 3hrs. Toto limekuwa interested yaani full kuchekacheka nilipoligusia mambo ya mahusiano.
Basi akili yangu ikanambia kuwa Toto lipo tayari kugegedwa. ile anasimama kuniaga nikamkumbatia mithili ya mtu anayetaka kuvuka barabara bila ya kuona gari inayotokea upande wa pili. nikaona haitoshi nikaanza kumbambia. Toto limetulia tu. Sinina uhakika kuwa tupo wawili nyumba nzima tena ni usiku wa saa tano

. Basi palepale nikashusha mzigo juu kwa juu. mtoto kushtuka kalowa suruali. nikamuaga akaingia zake ndani. Nikajiona mja a aa nja mwenyewe. siku ya pili yake mwenye nyumba karudi. ile kushuka kwene gari kaniita na kunichukua maelezo. huku yule demu wa kizungu yupo pembeni analia. kuwa nimemkumbusha tukio la zamani alipokuwa mtoto alihawi kubakwa. namimi alikuwa akiogopa kunizui kumkumbatia kwa kuwa ni askari nina nguvu kumzidi. na hakukuwa na mtu wa kumsaidia. tabiri nini kilifuata lol!!!!!!!! majanga.
 
Craig shukuru Mungu ilikuwa zamani, kwa sheria za sasa ungekuwa unachezea miaka 30 huko kwa babu seya!
 
Daaaaaaah! Wewe nawe naa zilikuzidia! Mtu umemuona dakika 2!
 
Pm kaka tuendeleze angalao tukaonane na shigongo mwisho wa mwezi wa kumi kwa kitabu chetu
title "kazi ubalozini"
hapo najua lazima tutengeneze fedha ya kutosha na jina
 
¹(Nia yangu nimshawishi kuwa baada ya kumailza kuoga atoke tupige story.)

²(nikaona toto linatoka tena na kikombe cha kahawa mixer ziwa.)

³(Toto limekuwa interested yaani full kuchekacheka nilipoligusia mambo ya mahusiano.)
⁴(Basi akili yangu ikanambia kuwa Toto lipo tayari kugegedwa.)

yaani shida inaanzia hapo #1 ilikuwa ni nia ila haikukamilika kuwa tendo maana kwa mujibu wa hadithi yako hukusema kama ulimwambia, inakuwaje #2 ikatokea?
#3 umemgusia mahusiano akacheka cheka tuu??? tayari ukahamia #4 . ndo maana mkuu Yericko Nyerere anasema umetunga
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Nikama miaka hivi umepita ila leo nimekumbuka. Nikiwa kama security guard kwa nyumba ya balozi mmoja hapa bongo. siku hiyo balozi aliniaga kuwa yeye na familia yake watsafiri kwenda mikumi kula shushu. Lakini kuna mgeni wke atakuja kesho yake kukaa pale mpaka atakaporudi ili mradi apunguze gharama za hotelini.

Basi kesho yake mimi ndiyo nikawa nightshift. Ile inafika mida ya saa moja tu honi getini. kucheki fresh kumbe ndo yule mgeni. kama kawaida ya kazi ya ulinzi haitaki haraka. nilimchukua maelezo then nikamkaribisha ndani. Huyo mgeni alikuja kufanya reseach flani hivi. lilikuwa toto la kizungu lakini kama lina shape flani ya kibantu hivi. yaani kuliona tu nikapata full mzuka wa kuligegeda.
Wellcome and fill at home. nilijichekesha kimombo na lugha ya kuungaunga. Nia yangu nimshawishi kuwa baada ya kumailza kuoga atoke tupige story.

Basi bhana ilipofika mida ya saa tatu hivi nikaona toto linatoka tena na kikombe cha kahawa mixer ziwa. kwa kuwa nilikuwa nina six tena ya HGL. Nikaanza kutema yai na mtoto story za kibongo bongo. na za mbele almost 3hrs. Toto limekuwa interested yaani full kuchekacheka nilipoligusia mambo ya mahusiano.
Basi akili yangu ikanambia kuwa Toto lipo tayari kugegedwa. ile anasimama kuniaga nikamkumbatia mithili ya mtu anayetaka kuvuka barabara bila ya kuona gari inayotokea upande wa pili. nikaona haitoshi nikaanza kumbambia. Toto limetulia tu. Sinina uhakika kuwa tupo wawili nyumba nzima tena ni usiku wa saa tano

. Basi palepale nikashusha mzigo juu kwa juu. mtoto kushtuka kalowa suruali. nikamuaga akaingia zake ndani. Nikajiona mja a aa nja mwenyewe. siku ya pili yake mwenye nyumba karudi. ile kushuka kwene gari kaniita na kunichukua maelezo. huku yule demu wa kizungu yupo pembeni analia. kuwa nimemkumbusha tukio la zamani alipokuwa mtoto alihawi kubakwa. namimi alikuwa akiogopa kunizui kumkumbatia kwa kuwa ni askari nina nguvu kumzidi. na hakukuwa na mtu wa kumsaidia. tabiri nini kilifuata lol!!!!!!!! majanga.

kula leki hapo kazi huna hili ndo tatizo la wabongo wengi ni vitombi sijui tupoje.
 
Umenifurahisha sana aiseee.
 
Back
Top Bottom