Jinsi mwanamke anavyoshusha thamani yake kirahisi sana

Huwa na insist wanawake kufungua mboni zao pale ambapo kuna mtu serious anapotangaza nia hata kama ni average joe,,,mwanaume hawezi kuwa maskini milele as long as anafight na maisha. Utakuta mwanaume anatoa dhati ya moyo kuwa yupo tayari kufanya maisha na binti na binti anaelewa kabisa mwamba kaoza ila anajifanya kichwa nazi .

Wanawake wengi wanapotezaga wanaume sahihi kwa maringo ya mda mfupi na kuachilia nafasi kwa masharo ambao they arent ready to be fathers matokeo yake wanaforce kupenda wasipopendwa na kuachiwa watoto wakiwa single parents kisha wanakuja kumwaga mipovu humu. All men are dogs shenzi.
Tatizo ni ngumu kujua moyo binadamu, unamjuaje aliye serious?
 
Nina mmoja nimujuaji sanaa kila sherehe yeye ndo katibu wa kamati ya maandalizi, usafiri yeye ndokila kitu ana simu za madereva wa magari, yeye anajifanya anajua sana kila mbinu za wanaumme duh....... hata na mimi nafikia sehemu najiuliza huyu nilimpata je yani sijui nani kuniloga duh?
Huu sasa wivu wa maendeleo. Na inferiority syndrome
 
Huwa na insist wanawake kufungua mboni zao pale ambapo kuna mtu serious anapotangaza nia hata kama ni average joe,,,mwanaume hawezi kuwa maskini milele as long as anafight na maisha. Utakuta mwanaume anatoa dhati ya moyo kuwa yupo tayari kufanya maisha na binti na binti anaelewa kabisa mwamba kaoza ila anajifanya kichwa nazi 😆😆😆.

Wanawake wengi wanapotezaga wanaume sahihi kwa maringo ya mda mfupi na kuachilia nafasi kwa masharo ambao they arent ready to be fathers matokeo yake wanaforce kupenda wasipopendwa na kuachiwa watoto wakiwa single parents kisha wanakuja kumwaga mipovu humu. All men are dogs 🤣🤣🤣 shenzi.
Well said mkuu
 
dah, niliwahi kuwa na demu mwenye ghetoo sa ana marafiki hatari kuna siku nilikuwa nae ndani' kumbe kuna rafiki zake wanataka onja anjarii dah ilikuwa tabuu tupuuu. Kumbe anawapaga story za show zetu za kibabeee
 
Namba 10 umefikiria kweli brother kabla ya kuandika?!!
Wazazi wangu wanaishi bukoba,nmemaliza chuo let say nikabahatika kupata kazi Mkoani Singida, sasa nkienda huko Singida nikake wapi kama sio kupanga na mm nijifunze maisha?!
Au wazo lako lilikuwaje kuwaje maybe umeshindwa kuliwasilisha vyema.
Yeah, kwa kizazi cha sasaivi hiyo ni changamoto kwasababu hata ikitokea una ndugu anayeishi mkoa unaofanyia kazi, sio ndugu wote wapo tayari kukudaidia.Cha msingi ni kujiheshimu tuu.
 
Huwa na insist wanawake kufungua mboni zao pale ambapo kuna mtu serious anapotangaza nia hata kama ni average joe,,,mwanaume hawezi kuwa maskini milele as long as anafight na maisha. Utakuta mwanaume anatoa dhati ya moyo kuwa yupo tayari kufanya maisha na binti na binti anaelewa kabisa mwamba kaoza ila anajifanya kichwa nazi 😆😆😆.

Wanawake wengi wanapotezaga wanaume sahihi kwa maringo ya mda mfupi na kuachilia nafasi kwa masharo ambao they arent ready to be fathers matokeo yake wanaforce kupenda wasipopendwa na kuachiwa watoto wakiwa single parents kisha wanakuja kumwaga mipovu humu. All men are dogs 🤣🤣🤣 shenzi.
Mkuu, wengi hata wakisoma hapa hawataelewa.They will learn lately with their own experiences.
 
Tatizo ni usichana, kula ujana mama muda una kusubiri. View attachment 1195245
Hapa ndipo mnapokosea sana tena mno. Mwanamke anapokosa mwanaume wa kumuoa ANAUWEZO NARUDIA TENA ANAUWEZO mkubwa mno wa kuhimili na kuishi maisha yake. Mwanamke anauwezo wa kuishi BILA Mwanamke na akaishi tena long long life
Kilichopo na sababu ya kujipa shida kubwa ya kila siku kuanzisha post za kuhusu wanawake ni kwamba MWANAUME BILA MWANAMKE hawezi kuishi. Tafuta kote mniambie mwanaume gani anaweza kuishi peke yake? ? Na vile mnaona wanawake wana nguvu za kiuchumi sasa basi ni kama mmechomwa na miba. Mnataka kuwacontrol kuwatisha n.k. Mwanamke anauwezo wa kuishi miaka 10 asiguswe au asisikie hamu ya kufanya mapenzi. Akalea watoto wake basi. Mimi nafikiri usitishe wanawake eti watazeekea majumbani so what kwani ww hutazeeka na ukizeeka bila Mwanamke pembeni imekula kwako
 
Hahahhahqhqhaha pole sana , umeharibiwa ba utandawazi
 
Mbona kaeleza vizuri. Kakueleza utakavyoweza kuishi geto bila kushusha heshima yako. Soma vizuri kwa mara nyingine.
Wewe hakuandika hivyo mwanzo. Ni baada ya kuilalamikia namba 10 ndio kaenda kuedit
 
Tatizo ni ngumu kujua moyo binadamu, unamjuaje aliye serious?
Ni ngumu ndio, moyo wa mtu ni kiza kinene ila......Mtu anaekupenda utamjua tu dhahiri ila kwa kuwa mnataka kufuata moyo na sio akili yanayowapataga ni siri yenu. Uko na mtu 5 years kisha anaoa mtu wake mwengine unaishia kulia kama faiza 😁😁😁 ukiwaza watu sahihi ambao uliwakataa kisa sio ma HB
 
Mkuu, wengi hata wakisoma hapa hawataelewa.They will learn lately with their own experiences.
Kiukweli wanaume tupo wengi wenye nia za dhati. Ila mabinti ndio wanazinguaga. Mwanamke anataka kuiridhisha nafsi yake hata kwa kujifariji na kujibebisha kwa mtu ambaye anajua atamuacha tu anytime ili aonekane nae ana bwana mzuri tu...ukiuliza utaskia nafsi tu ndio inataka sa mi nifanyeje! Mtu serious, unaskia hata silipendi yani, japo linanihonga kweli na zawadi zake nakula yani G hapindui kwangu ananipenda sana.

Wakifika late 20's ndio wanagundua kumbe kuna haja ya kufanya matumizi sahihi ya akili.

Huwa nawachekigi af nasema hiiii..
 
Hapa ndipo mnapokosea sana tena mno. Mwanamke anapokosa mwanaume wa kumuoa ANAUWEZO NARUDIA TENA ANAUWEZO mkubwa mno wa kuhimili na kuishi maisha yake. Mwanamke anauwezo wa kuishi BILA Mwanamke na akaishi tena long long life
Kilichopo na sababu ya kujipa shida kubwa ya kila siku kuanzisha post za kuhusu wanawake ni kwamba MWANAUME BILA MWANAMKE hawezi kuishi. Tafuta kote mniambie mwanaume gani anaweza kuishi peke yake? ? Na vile mnaona wanawake wana nguvu za kiuchumi sasa basi ni kama mmechomwa na miba. Mnataka kuwacontrol kuwatisha n.k. Mwanamke anauwezo wa kuishi miaka 10 asiguswe au asisikie hamu ya kufanya mapenzi. Akalea watoto wake basi. Mimi nafikiri usitishe wanawake eti watazeekea majumbani so what kwani ww hutazeeka na ukizeeka bila Mwanamke pembeni imekula kwako

Ni ngumu ndio, moyo wa mtu ni kiza kinene ila......Mtu anaekupenda utamjua tu dhahiri ila kwa kuwa mnataka kufuata moyo na sio akili yanayowapataga ni siri yenu. Uko na mtu 5 years kisha anaoa mtu wake mwengine unaishia kulia kama faiza ukiwaza watu sahihi ambao uliwakataa kisa sio ma HB
Swali liko palepale, mtu sahihi unamjuaje?
 
Well mtu mwenye nia ya dhati na wewe utamjua kwa matendo. A guy with a rich heart is good to go with.
Sio mtu wa kufloss na material stuffs, you girls huwa mnamjua mtu anaewapendaga mbona ila mnajazanaga ujinga tu. Yule ambaye unamwambiaga rafiki yako mi hata silipendi ndio mtu wa kufanya nae maisha. AMINI KWAMBA!!!
 
Ohoo kwa hiyo mwanaume maskini ndio mwenyewe au unajaribu kusema nini
 
Back
Top Bottom