TRANSPONDER
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 400
- 1,019
Habari za muda huu great thinkers !
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu, baada ya kushuhudia jinsi wanawake walio na sifa nyingi za kuolewa wanakosea na kuharibu sehemu ndogo sana.
1. Mwanamke kupenda kukumbatiana kumbato la hisia na kila mwanaume anayemfahamu.
2. Kupenda kuitana baby na waume za watu au wanaume zaidi ya mmoja.
3. Kupenda cheap things katika maisha, hana target ya mtu mmoja , Leo akitolewa out na huyu , kama kesho kafulia basi utatoka out na yule kwa kuwa anajiona single.
4. Kuwa mjuaji sana mbele ya mwanaume. Eee mwanamke wife materials huwa wanajishusha mbele ya mwanaume, funga kidomo chako na tumia hekima kumkosoa mwanaume, kinyume na hapo utalea sana watoto wa watu.
5. Kushika shika miili ya waume za watu ukidhani ni mchezo. Huo ni uchafu mdada ambao mwanaume akitaka kukutongoza anasikia harufu kali na kukimbia.
6. Kupenda sana umbea. Kutwa kusema wanaume na wanawake.
7. Kuwa na marafiki uliowazidi umri , dada mkubwa mzima akili yako bado ipo kama binti wa miaka 20.
8. Mchagua jembe si mkulima Punguza vigezo, unayechagua sio mcheza porno ni mume wa maisha.
9. Jiheshimu na uwe na mipaka katika maisha .
10. Acha kukaa gheto shwain, mwanamke mwenye staha ataolewa kutoka kwa ndugu au kwa wazazi , sasa ufanyiwe sendoff ya nn wakati umekaa gheto miaka zaidi ya kumi, hadi ..... imeota sigda. #kama unakaa gheto ishi kwa staha sana , usikaribishe wanaume gheto , epuka gheto lako kuwa danguro kwa marafiki kuleta watu wao, kuwa mcha mungu sana. Na uwe na mawasiliano ya mara kwa mara na wazazi au walezi. Na usitoke hovyo ukachelewa kurudi kisa upo mwenyewe , treat yourself kama upo na wazazi.
Naomba tuongeze wadogo zetu wajifunze zaidi kupitia uzi huu.
Pongeza kwa wadada wote wenye ndoa zao na wanazitunza . Fundisheni hizi mothers of no catching feelings.