Jinsi mkoa wa Kagera unavyotengwa na Serikali

Kuna special move nilitaka niianzishe lakini niliona ina madhara kidogo.

Uliwahi kujiuliza maswali haya ya msingi?

1. Kwanini Zanzibar Ana special treatment? Anapewa hata ambavyo hakusitahili

2. Kwanini jimbo la Catalonia nchini Spain linapewa special treatment kuliko malaga, au sevilla au kwingine?

3. Kwanini Mombassa ndani ya Kenya inapewa special treatment kuliko nakuru, kisumu, lamu na kwingine?

4. Kwanini crimea inapewa au ilikuwa inapewa special treatment na Ukraine kuliko majimbo kama dnipropetrovisk, baglovshchensk, luhansk au Donestk,

Sababu ni kwamba zilitisha kujitenga na nchi hizo

Mawazo yangu ni kwamba, tukiweka mezani sababu ya msingi ya Kagera kutaka nchi yetu kama sisi japo tunajua hatutapata ila

Tukaandika barua UN, AU na Marekani kuomba seat kwenye UN na kuomba nchi yetu,

Zile sababu tutakazotaja serikali itazishughulikia mara moja, pia kimataifa tutapata wafuasi na watu hasa wazungu wanafiki wa kutupa misaada ili tujitenge vema, hii itasaidia ku alert TZ na serikali kwamba hawa watu

Wanataka nao reli ifike

Wanataka vyuo vya serikali huko

Wanataka kuunganishwa na wengine biashara kupitia bulk transportation means of cargo kama meli na reli siyo lami tu,

Watajua kwamba restrictions za kufanya biashara na nchi jirani si nzuri hasa wana Kagera wanapokatazwa kufanya na Uganda

Watajua kwamba kuna tourism sites ambazo serikali imeshindwa ama kwa makusudi au uzembe kuziendeleza,

Ni mengi sana,

Pia Tunabaguliwa muda huu kama hamjui

Ni wazo zuri sana. Naunga mkono. Wazo hilo liratibiwe kisomi. Wala wazo si la uasi bali lahitaji akili kubwa kulichakata na kuliweka kwenye vitendo. Suala la kupambana bila kuonesha njia ya mapambano na yupi unayepambana naye ni kama halipo au limekufa. Kwa wazo langu adui wa Kagera anaonekana. La msingi ni mkakati wa kisomi kwa kuandikia ili kuyaleta mapinduzi. Kubwa ni kuitangaza Kagera wote wakajua halafu mapambano yakaanza.

Wapo wasomi (uzamili na uzamivu) ambao wanaweza kuonesha njia japo baadhi yao wakiwa waoga tunaweka pembeni. Si lazima mabadiliko waletwe na wasomi tu japo mchango wao mkubwa sana. Hilo suala lilitokea Mtwara ingawa halikuratibiwa kisomi. Hivi sasa ukimgusa mtu wa Kigoma wote wanaamka, Kagera wapo tu. Mliona hata kwenye tetemeko serikali ilibaki kufanya danadana. Dr Kahangwa alijitahidi ila alikuwa peke yake japo naye alikuwa kwenye tafiti na si hamasa mbali na kuwa mwathirika mkubwa. Wasomi wenzake, viongozi kimya hata kutoa matamko dhidi ya mamlaka hakuna kabisa. Misaada yote ilipotea.

Nina uwezo na nina jua jinsi ya kuratibu suala ili.

Nasema hivi

Sidhani kama wote wataguswa na kuchangia changia post hii, ni wakazi na wenyeji wa mkoa wa kagera watakaoguswa sana!! Wa Kagera atayebisha haelewi Au aidha wamesoma sana au ni mbumbumbu wa kufikiri, kunghamua, kutathimini, na kulinganisha kagera ya sasa na mikoa mingine inavyo kimbia kimaendeleo.

Kuna mikoa ukimaliza miezi 6 tu haupo ukienda unakuta mabadiliko ya kusonga mbele kimaendeleo!! Lkn Kagera hakuna kitu, nitakupa, vitu vinavyo letã changes za haraka linganisha na kagera yetu, ujenzi wa vyuo mbalimbali, miundo mbinu bora, masoko ya kisasa, stend za kisasa, bandari na usafirishaji kwa njia ya maji, reli na hanga, soko lá mazao ya biashara na chakula, ugunduzi na uchimbaji wa madini, uwekezaji wa miradi mikubwa na viwanda, kujituma kwa wakazi husika bila kubagua kazi, supporting ya serikali na viongozi, uwanzishwaji wa kilimo na ufugaji wa kisasa, je kati ya haya ni yapi angalau tunaweza kujinadi kuwa tumepiga hatua? Kama sio sisi wenyewe kuchambana na kuishia kwenye umasikini wa kipato na hakili, ebu tuwe wamoja kwa hoja zenye manufaa kwetu wote.
Hapa sio kagera tu..hapa ni kanda ya ziwa..tumetengwa sana na kuhasahulika..ili hali uchumi wa hii nchi unatokana na kanda ya ziwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama ni kweli nyie ndiyo mmeshika uchumi wa Tanzania mngepigania uhuru wenu kama Wazanzibari.
 
Wewe umemtukuza Magufuli kwenye posts nyingi tu hapa jamii forum halafu unalalamika nini tena kuhusu Kagera?! Wahaya shida yenu nyingine ni unafiki, mnakosa uhalisia.
 
Tumekoswa pia uwakilishi wa maana katika vyombo vya maamuzi, na kutengwa a serikali kw kila nyanza. Naunga hoja
 
Wahaya mnachangiana million 100 kwenye harusi lakini hata soko zuri hamuwezi kujenga mnasubiri serikali, mtasubiri sana, halmashauri zenu mna vyanzo vingi vya kupata pesa lakini maji Hamna Barabara chafu, na mnashindwa nini mkakope au kuweka strategy mkaleta wawekezaji wa speed boat au viwanda vya samaki, maendeleo mtaleta wenyewe na halmashauri zenu sio kusubiri pesa kutoka hazina na plan za Dodoma, mkianza tutakuja kuwekeza acheni kulia lia, mna ziwa kubwa na ardhi safi na mpaka...utajiri mtupu
 
nawashangaa,kimkoa chao hakina asset yoyote ya maana,hawafanyi kaz uvivu tu wanataka maendeleo wakat hata ubunifu wa kuanzsha daladala pale bukba wameshindwa imagine mji wa bkb haina daladala
Mkuu mkoa ulitoa zao la kahawa, chai samaki, madini, lakini mazao wameweka vizingiti vya bei mpaka wakulima wakakosa ARI ya kufanya kazi, ndizi walileta madawa ya kuua wadudu, badala ya kuua wadudu ikaharibu migomba!
 
Planting a mustard seed.

Semeni mnahitaji Bahima empire tu na si mengine.

Mleta mada ni mnyarwanda
 
Wewe umemtukuza Magufuli kwenye posts nyingi tu hapa jamii forum halafu unalalamika nini tena kuhusu Kagera?! Wahaya shida yenu nyingine ni unafiki, mnakosa uhalisia.
Mangi kunywa castle lite 2 billi niachie
 
Back
Top Bottom