Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
Umeonaeee. Yaani hapa hata huu uzi tungeupita kama hatuuoni. 😀Hahahahaa..!
Sasa C'ssy tutaambia nini watu.??
Afadhali siyo ule mkao mbaya walaqhi tusingejisema..!!
Umeonaeee. Yaani hapa hata huu uzi tungeupita kama hatuuoni. 😀Hahahahaa..!
Sasa C'ssy tutaambia nini watu.??
Afadhali siyo ule mkao mbaya walaqhi tusingejisema..!!
Hahahhaa.!!Umeonaeee. Yaani hapa hata huu uzi tungeupita kama hatuuoni. 😀
Hahahaaa. Lol.Hahahhaa.!!
tunaanzaje kuuona? Uzi?? Leo?? thread ya Mikao?? Hapana kwakweli, Hata JF tutajifanya hatujaingia.!
Wakiwa na mapaja makubwa wanapendezaa!!Huo mkao E ni wa wale wavaa vimini. 🤣🤣
Mana wanajibanaga mbaya.
Kumbe ee?Wakiwa na mapaja makubwa wanapendezaa!!
Alikua ana ku shape...hata wewe binti yako akiwa mdogo hauto mruhusu afanye hivyo.
Falsafa ni mawazo makuu ya Mtu.
Saikolojia ina dili na tabia na akili ya mwanadamu inavyofanya kazi.
Asante mkuu.Psychology is about study of mind, human behaviour, feelings etc. ... Philosophy is the study of the general and fundamental nature of reality, existence, knowledge, values, reason, mind, and language not by scientific ways.( C&P From Google).
Mkuu nimekuongezea ili muulizaji aongeze uelewa.
C 🙈Ujue nimecheka Mdogo wangu mana mi mwenyewe nipo sehemu nimekaa halafu najiangalia nimekaa huo mkao C.Na visigino nimegusanisha. Lol
Sasa sisi tusioweza kukunja nne mnatusaidiaje
Wewe jichetue tuu😁