Haya yametokea Kati ya 2016 - 2017
1. Mkabomoa jengo la Bilcanas, mkapora na music systems, viti, viyoyozi, mike, taa, meza, bia, spirit, kufuli, milango n.k - HOLAAA
2. Mkapora meza, viti, mafile mouse na kompyuta za FreeMedia - HOLAAAA
3. Mkabambikia Kodi Hoteli Protea Aeshi - HOLAAAAA
4. Mkambambikia tuhuma za kuuza madawa ya kulevya - HOLAAAAA
5. Mkatengeneza lipropaganda la hovyo kumharibia sifa za kimaadili mbele ya jamii - HOLAAAAA
6. Sasa hasira zikawatuma kwenda na mabunduki kung'oa mchicha, kabichi, vitunguu, nyanya, pilipili n.k. - HOLAAAA
Hizi haziwezi kuwa akili za kawaida kabisa. Na aliyewaroga hawa mafisi ni marehemu bila shaka!
____________
Badala ya kumdhoofisha Freeman ameendelea kuwa imara zaidi, na Mungu anambariki zaidi na zaidi!!
Mimi nawaombea laana wote waliohusika na uzao wao wote!
C&P kutoka ukurasa wa Ukuta FB.
Jee mtu asiyeyumba namna hii tumuweke kundi gani? Na kwanini wanamuandama namna hii?