Jinsi Mbowe Anavyoshambuliwa na Bado Imara

Unajua kuna watu walizaliwa kuwa watu fulani...basi ni Mbowe.
Mbowe alizaliwa kuwa mwanasiasa mahiri,hafanyi-fanyi,anafanya na kuijua na kuishi ktk siasa.

Mbowe ndiye alama ya siasa za upinzani nchi hii.
Ukimuongelea Mbowe unauongelea upinzani imara.
 
Haya yametokea Kati ya 2016 - 2017

1. Mkabomoa jengo la Bilcanas, mkapora na music systems, viti, viyoyozi, mike, taa, meza, bia, spirit, kufuli, milango n.k - HOLAAA

2. Mkapora meza, viti, mafile mouse na kompyuta za FreeMedia - HOLAAAA

3. Mkabambikia Kodi Hoteli Protea Aeshi - HOLAAAAA

4. Mkambambikia tuhuma za kuuza madawa ya kulevya - HOLAAAAA

5. Mkatengeneza lipropaganda la hovyo kumharibia sifa za kimaadili mbele ya jamii - HOLAAAAA

6. Sasa hasira zikawatuma kwenda na mabunduki kung'oa mchicha, kabichi, vitunguu, nyanya, pilipili n.k. - HOLAAAA

Hizi haziwezi kuwa akili za kawaida kabisa. Na aliyewaroga hawa mafisi ni marehemu bila shaka!
____________
Badala ya kumdhoofisha Freeman ameendelea kuwa imara zaidi, na Mungu anambariki zaidi na zaidi!!

Mimi nawaombea laana wote waliohusika na uzao wao wote!
C&P kutoka ukurasa wa Ukuta FB.
Jee mtu asiyeyumba namna hii tumuweke kundi gani? Na kwanini wanamuandama namna hii?
Ndo hoja sasa horaaaa! Kutoka chama cha kupinga ufisadi mpaka horaaaaa!
 
Upinzani kazi yake n kuleta chachu kwa serikali na si uadui.
Wapinzani n watu muhimu sana kwa siasa haswa siasa za kiafrika AMBAZO zimejaa viongozi madikteta wasiotaka kukosolewa na kujiona wao n Mungu watu.... This is foolish ideology...
Waaache kuendesha siasa zisizo na changamoto
 
Haya yametokea Kati ya 2016 - 2017

1. Mkabomoa jengo la Bilcanas, mkapora na music systems, viti, viyoyozi, mike, taa, meza, bia, spirit, kufuli, milango n.k - HOLAAA

2. Mkapora meza, viti, mafile mouse na kompyuta za FreeMedia - HOLAAAA

3. Mkabambikia Kodi Hoteli Protea Aeshi - HOLAAAAA

4. Mkambambikia tuhuma za kuuza madawa ya kulevya - HOLAAAAA

5. Mkatengeneza lipropaganda la hovyo kumharibia sifa za kimaadili mbele ya jamii - HOLAAAAA

6. Sasa hasira zikawatuma kwenda na mabunduki kung'oa mchicha, kabichi, vitunguu, nyanya, pilipili n.k. - HOLAAAA

Hizi haziwezi kuwa akili za kawaida kabisa. Na aliyewaroga hawa mafisi ni marehemu bila shaka!
____________
Badala ya kumdhoofisha Freeman ameendelea kuwa imara zaidi, na Mungu anambariki zaidi na zaidi!!

Mimi nawaombea laana wote waliohusika na uzao wao wote!
C&P kutoka ukurasa wa Ukuta FB.
Jee mtu asiyeyumba namna hii tumuweke kundi gani? Na kwanini wanamuandama namna hii?
Matukio yanatufundisha kuwa Mtu yeyote maskini amebarikiwa kwa WIVU,HUSUDA,UKATILI - yaani roho mbaya ndo hazina yake haijalishi ana cheo gani. Nguruwe, nguruwe tu hataweza kuwa ng'ombe - tafakari
 
Daaaaaaaah hivi nawaza ni wangapi wamerudi nyumbani na vijijini mwao baada ya assets za Mbowe kuletewa zengwe , hivi hao watu huko mitaani wanawaza nini vichwani mwao Mungu turehemu na Tanzania yetu ya Vi_Wonderz
 
Unajuu mkuu anajua nguvu ya chadema ni mbowe,ati kwasababu aliwabatiza kwa maji 2015,sasa muondoeni mbowe aje atakaewabatiza kwa moto,watz tumeyachoka ma ccm hata mfanyaje hakuna jipya kwenu.mkulu anataka tukubali mawazo yake ata kama ni ya kijinga,basi akate kichwa atuvishe ili tutumie ubongo wake.

namuonya visasi vyake kuna siku siku akiwa hai atasaga meno.tunaechukizwa na utawala unyanyasaji ni wengi.kumbuka kikwete pamoja na kumbeza lkn alikua rafiki wa makundi yote na uchaguzi ulikua tiamajitiamaji,je sasa uje na ccm ya kinagambo na bashite ambae ata kushinda serikari ya mtaa ataweza
Jpm anahusikaje hapo,
 
Mkuu wa wilaya ya Hai aking'oa miundombinu ya Kilimo cha mbogamboga kinachomilikiwa na Mbunge wa Hai Mh. Mbowe.

Huwezi kuondoa umasikini kwa kumchukia tajiri.View attachment 524199
Kama kuna vitu vya kijinga sana nchi basi ni pamoja na jambo kama hili kufanywa na mtu wa serikali. Iwe chuki za kisiasa, uwe ni wivu wa maendeleo au vyovyote vile, hu ni UJINGA wenye viwango vya PhD. Hivi katika hali kama hi, unaweza kuwashawishi watu kuwekeza vitu vya maana nchini? Unadhani wafanyabiashara wazawa na hata wasio wazawa wataendelea walau kuweka pesa zao kwenye mabenki ya ndani kweli? Tuelewe hivi, jambo lolote la kiuchumi tunapochukua hatua HASI kama hizi linafikirisha wengine. Mbowe angekua hana biashara nyingine nje ya nchi hakika wangekua wamemfirisi. Pole sana Mbowe, ndio matunda ya kua mpinzani but I am sure siku moja waliokufanyia hivi watakuja kuomba msamaha. Hivi kuna mtu aliwahi kufikiri kwamba in less than 5 years time Nape anaweza tishiwa bastola na police/TISS!?
 
Mojawapo ya laana za utawala wa sasa ni roho mbaya. Kwa kweli Mbowe kaumizwa sana! Kuna mtu anaitwa Nehemia Mchechu, Mkuu wa NHC alikwenda na kikosi kubomoa Bilicanas ya Mbowe eti hajalipa kodi. Lakini orodha ya wadaiwa wa kodi ilikuwa ndefu kweli, lakini alipomaliza kumshughulikia Mbowe wengine akawaacha. Kama hao aliowaacha ni rafiki zake mbona hata Mbowe huyu Nehemia Mchechu wanasali kanisa moja la KKKT?
 
Mbowe kapotea kabisa, chadema inabebwa na matukio ya rais.
Kama Bashite
Mkuu wa wilaya ya Hai aking'oa miundombinu ya Kilimo cha mbogamboga kinachomilikiwa na Mbunge wa Hai Mh. Mbowe.

Huwezi kuondoa umasikini kwa kumchukia tajiri.View attachment 524199
Kuna mambo mengi sana ya kufanya wilayan hai Vijana Wanahitaji msaada kifkra Ila alicho ona DC ni mboga za majani za Mbowe ndio tatizo la Wilaya. Shame upon him ndio sababu wanaambiwa wanatakiwa kusoma na kuandika tuu. Juzi alitoka kugawa Vitanda vinne hospital akaona ndio amepatia. Hai hawahitaji DC kama huyu kwa kuwa hana mpango wa Maendeleo ni Mharibifu.
 
CCM wanapenda maendeleo lakini wanawachukia wapinzani wenye maendeleo.

Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Hai ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo, Gellasius Byakanwa wamevamia shamba la mbunge wa jimbo hilo, Mh. Freeman Mbowe lililoko nyumbani kwake Machame na kuharibu miundo mbinu na mali pamoja na mboga mboga na mimea.

Mh. Mbowe amezungumza na [HASHTAG]#Jahazi[/HASHTAG] moja kwa moja kutoka bungeni mjini Dodoma... "Ni kweli nimezipata hizi habari mkuu wetu wa wilaya akiambatana na askari na waandishi wa habari walikwenda kwenye mradi wetu na kukatakata mimea na kufanya uharibifu mkubwa, taarifa nilizozipata kutoka kwa wafanyakazi waliopo site walisema walipokea barua kutoka NEMC kuwa kilimo tunachokifanya kinaharibu mazingira na hatukustahili kuendelea na kilimo kile, ni jambo la kufedhesha sana tunawahamasisha watanzania wawekeze kwenye kilimo cha kisasa lakini viongozi wa serikali bila kuheshimiana wanakwenda kuharibu, sio kweli kilimo chetu hakiharibu mazingira, familia yetu imelima kwenye shamba hilo kwa zaidi ya miaka 80"
Miaka 80( Babu, Baba, Mbowe)
 
Hapa ndo nakuja kujua mzungu anathamani anaulizwa kabisa watu wake wanakuja baada ya wiki moja au mbili ila mbowe walimpa miez 4 wakijua kabisa hatakuwa bado ajavuna

Naomba kuelimishwa hapa kwa wanaofahamu hilo eneo la Mbowe. Eneo hilo hakuna mtu mwingine anayelima? hakuna ufugaji wowote unaofanyika hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom