Huu utawala wa kimaruhani,yaani unang',oa mchichaHaya yametokea Kati ya 2016 - 2017
1. Mkabomoa jengo la Bilcanas, mkapora na music systems, viti, viyoyozi, mike, taa, meza, bia, spirit, kufuli, milango n.k - HOLAAA
2. Mkapora meza, viti, mafile mouse na kompyuta za FreeMedia - HOLAAAA
3. Mkabambikia Kodi Hoteli Protea Aeshi - HOLAAAAA
4. Mkambambikia tuhuma za kuuza madawa ya kulevya - HOLAAAAA
5. Mkatengeneza lipropaganda la hovyo kumharibia sifa za kimaadili mbele ya jamii - HOLAAAAA
6. Sasa hasira zikawatuma kwenda na mabunduki kung'oa mchicha, kabichi, vitunguu, nyanya, pilipili n.k. - HOLAAAA
Hizi haziwezi kuwa akili za kawaida kabisa. Na aliyewaroga hawa mafisi ni marehemu bila shaka!
____________
Badala ya kumdhoofisha Freeman ameendelea kuwa imara zaidi, na Mungu anambariki zaidi na zaidi!!
Mimi nawaombea laana wote waliohusika na uzao wao wote!
C&P kutoka ukurasa wa Ukuta FB.
Jee mtu asiyeyumba namna hii tumuweke kundi gani? Na kwanini wanamuandama namna hii?
Unafananisha akili zako, Stive Nyerere na Mh Mbowe? Huoni hakuwajibu, baada kuiona tu, tukajua usanii na ukabuma.Umesahau na yeye mwenyewe kujirekodi akiongea na kumtongoza Wema ili apate ujiko toka kwa jamii kuwa anajuwa kutongoza machangu wa Bongo movie...HOLAAAAA
Zitto mwenyeweChuki zilizomuondoa Zitto Chadema nani alizipandikiza?
Na mnafurahia sio..Umejuaje kama hola. Ulitaka atangaze hadharani hasara. Hata hivyo alishalalamika kuonesha yanamdhuru
Hivi kuna mwenye CV ya huyo DC?Kwa chuki zake kaona akang'oe mwenyewe
Haya yametokea Kati ya 2016 - 2017
1. Mkabomoa jengo la Bilcanas, mkapora na music systems, viti, viyoyozi, mike, taa, meza, bia, spirit, kufuli, milango n.k - HOLAAA
2. Mkapora meza, viti, mafile mouse na kompyuta za FreeMedia - HOLAAAA
3. Mkabambikia Kodi Hoteli Protea Aeshi - HOLAAAAA
4. Mkambambikia tuhuma za kuuza madawa ya kulevya - HOLAAAAA
5. Mkatengeneza lipropaganda la hovyo kumharibia sifa za kimaadili mbele ya jamii - HOLAAAAA
6. Sasa hasira zikawatuma kwenda na mabunduki kung'oa mchicha, kabichi, vitunguu, nyanya, pilipili n.k. - HOLAAAA
Hizi haziwezi kuwa akili za kawaida kabisa. Na aliyewaroga hawa mafisi ni marehemu bila shaka!
____________
Badala ya kumdhoofisha Freeman ameendelea kuwa imara zaidi, na Mungu anambariki zaidi na zaidi!!
Mimi nawaombea laana wote waliohusika na uzao wao wote!
C&P kutoka ukurasa wa Ukuta FB.
Jee mtu asiyeyumba namna hii tumuweke kundi gani? Na kwanini wanamuandama namna hii?
yani mkuu wa wilaya na suti yake anabinuka anachuma mchicha kwenye shamba la Mbowe ili kumkomoa.
kweli hii ndiyo Tanzania ya viwanda vya wivu wa kike.
Vp TataMadiba ,mmejipanga kumframe nani baada ya kudunda kwa Mbowe?Chuki zilizomuondoa Zitto Chadema nani alizipandikiza?