kusema ukweli, nampongeza sana kwa kupiga vita huu uchafu wa sodoma na gomora...lakini na doubt vile anavyofanya practical ya vitu...kwasababu anafanya watu waone kama yeye ni expert wa kuangalia pono...kitu ambacho ni kibaya sana. unajua, kile kinachoijaza akili yako, is what is going to make who you are, ukiwa unajaza pono muda wote, utakuwa addicted na pono na kuna uwezekano mkubwa kupractice vitu vya mle,,,ukiwa unaangalia sana mapono ya mahomosexuals, kuna uwezekano mkubwa pepo la pono likakuingia,,,kwasababu Mungu hawezi kukaa na mwangalia pono..ukiwa unajaza Neno la Mungu sana, upako wa Mungu utakuwa mwingi kwako...alichotakiwa kufanya hapo, sio kwenda kukaa kwenye meli ya kivita ya adui na kuanza kuwarushia risasi, alitakiwa akae mbali ndo arushe risasi zake..that means, angepigana vita vya kiroho zaidi...
hao mahomosexual hata uwaeleze vipi hawaji kuacha, labda uende kwa nguvu za rohoni ndo ukivunja kila kitu, udhihirisho utatokea kwenye ulimwengu wa roho...angekazana kuwafundisha watu koroho zaidi, kuchukua mapono na kutazamisha watu, ndo kesho yake wote hao watakuwa kwenye net wanatafuta hayo mapicha..na haileti matunda bora kuliko vile angefanya kwa mahubiri ya Neno halisi la Mungu...
unajua, hakuna kitu chenye nguvu kama Neno la Mungu aliye hai...linapita hekima zote, linapita busara ya wasomi na kila kitu..Neno la Mungu ni nyundo ivunjayo mawe vipandevipande, linaweza kugawanya nafsi na roho, lina choma ni kama moto...hasa likichanganywa na nguvu za Roho Mtakatifu lina kuwa na nguvu sana hata homosexual akisikia, linambadilisha siku hiyohiyo...
lakini ukiwa unaongea maneno yako ya kawaida tu yasiyo na upako wa nguvu za Roho hakika hayana impact yoyote...so angeenda kiroho zaidi kuliko kimwili, pamoja na kwamba, kwa kufanya hivyo, kuna faida fulani watu wanapata na pengine huo mswada ulifanikiwa kupita kwasababu yake...Mungu ambariki hakika..