wengi tu mwenyewe ni shuhuda wa hilo kwa rafiki yangu, yy anasema anaishi tu na mkewe kwa kuwa wamefunga ndoa lkn mkewe hampendi, hata katika kupanga mambo ya maendeleo mkewe huwa hatoi ushirikiano
Kujulikana na familia ndo kukufanye ukubali kuishi bila furaha for the rest of your life?!!! We goma kufuata hizo faken sheria zake, akimaindi na akuache. Unajua ukizaliwa kwwnye family isiyo na amani sio kosa lako, but ikiamua kuanzisha family isiyo na amani ni kosa nadhambi kwako...Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
^^
Nenda tu umwache,kama kulia atalia yataisha..
Amekugharamia umejiona mzuriii, umependeza eti ee!
..
Nenda mwaya.. Katafute hubby wa kukubembeleza muda wote, wa kukuchekea 24hrs!
Nenda mwaya! Baada ya kumvuna nenda kasherekee! Wala usimtafutie sababu..
..
Haa! Yaan uwe na mtu asiye romantic?
Romantic inaleta pesa
Romantic inajenga
Romantic ni mume mwema!
Romantic inaleta kazi
..
Nenda na kila la kheri
Pita mlango huooo wala usigeuke nyuma
^^
miaka miwil nw ndiy unaona hayupo romantic..muache uzeekee nyumbani
miaka miwil nw ndiy unaona hayupo romantic..muache uzeekee nyumbani
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?