Jinsi mapenzi yanavyonichanganya

Jinsi mapenzi yanavyonichanganya

Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.

Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?

pole sana kwa masihibu hayo ila kwa ushauri tu ni kuwa ndoa ni lazima ijengwe na upendo ksti yenu na si sababu nyngne si huruma wala kilio kinachokufanya uingie kwenye ndoa isije ikawa ndoa ndoano. tafakari na kufanya uamuzi ulio sahii
 
Chukua mawazo yako na yakuambiwa kisha changanya utapata jibu sahii.....pole
 
kuna wengine hawaambiliki ndg, pengine hata jinc ya kumuanza kumueleza yalo moyoni hawezi

uuuwiii baba nyumbani awe mkali nashindwa kumwambia kitu hata mpenzi nae..aiseee haijawahi kunikuta manake ningekua namwandikia ata notes namtumia asome ataelewa tu...wanawake wengine wapo kwenye relationship ila wanawachukulia wanaume kama miungu....!
 
Usiue, Usiibe, Usizini, Usishuhudie mwenzako uwongo, waheshimu wazazi wako etc. Amri kama izo sio!

Mkuu Tized umenifurahisha sana...nimekugongea ka like hapo
 
Last edited by a moderator:
kaa nae kwa utulivu na umwambie ajirekebishe,ukiona hakuna mabadiliko chukua hatua kuliko ukubali ndoa afu uishi km uko kifungoni
 
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.

Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?

Wewe utakuwa mtumwa milele.
Hivi kwa nini huwe na mtu sababu una muonea huruma?
 
endelea na huruma hyo hyo.' ulipokua unakula hela zake!!??
 
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.

Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?

Romantic inapo geuka kuwa muhimu katika CV yando !!!!!!!!!!!!!!! Osh!qq? Ninaona inataka kuchukua nafasi ya Walet
 
pole mpenzi.
lazima atakuwa mchaga maana hawa ndio wanavisirani kweli kweli.
wanajua kununa.
kama umekula vyake vumilia tu maana wana thamini mali kuliko utu.
 
Wewe utakuwa mtumwa milele.
Hivi kwa nini huwe na mtu sababu una muonea huruma?

Inawezekana anajionea huruma yeye! Si unajua siku hizi mwendo wa kumiminiwa risasi tu,na huyu Mr amri kama za jeshi anaweza kuwa na shabaha ya ukweli asikosee target!
 
^^
Nenda tu umwache,kama kulia atalia yataisha..
Amekugharamia umejiona mzuriii, umependeza eti ee!
..
Nenda mwaya.. Katafute hubby wa kukubembeleza muda wote, wa kukuchekea 24hrs!
Nenda mwaya! Baada ya kumvuna nenda kasherekee! Wala usimtafutie sababu..
..
Haa! Yaan uwe na mtu asiye romantic?
Romantic inaleta pesa
Romantic inajenga
Romantic ni mume mwema!
Romantic inaleta kazi
..
Nenda na kila la kheri
Pita mlango huooo wala usigeuke nyuma
^^

Bonge la poem,,
 
Ndoa ndoano. Tahadhali na chukua hatua
 
uuuwiii baba nyumbani awe mkali nashindwa kumwambia kitu hata mpenzi nae..aiseee haijawahi kunikuta manake ningekua namwandikia ata notes namtumia asome ataelewa tu...wanawake wengine wapo kwenye relationship ila wanawachukulia wanaume kama miungu....!

wengi tu mwenyewe ni shuhuda wa hilo kwa rafiki yangu, yy anasema anaishi tu na mkewe kwa kuwa wamefunga ndoa lkn mkewe hampendi, hata katika kupanga mambo ya maendeleo mkewe huwa hatoi ushirikiano
 
Pole sana, ukiona mwanaume naye anafikia hatua ya kununa wakati yeye ndio kiongozi ujue hajajitambua vya kutosha.
Siyo amri hizo.....amri za fanya hiki na hataki mjadala...na ucpofanya ni kununa tu..
 
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.

Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?

Mko kwenye uchumba na hamjaoana. Lengo la uchumba ni kufahamiana ili msije mkaingia kwenye ndoa wakati tabia zenu haziendani. Kama umeshagundua kuwa mwenzako ana tabia ambayo haifurahii, basi ni wakati muafaka ku quite na kutafuta mchumba mwingine...otherwise tegemea kuishi bila raha for the rest of ur life
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom