Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Tena ilikuwa pesa nyingi sana. Exchange rate ilikuwa 1 rand = 200 TZS.
Ina maana south african currency inadrop dhidi tsh?
Screenshot_20210211-071606.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Aisee, hii sio stori bali ni tamthiliya, nadhani watu mlioishi Bondeni mkiungana na mkaunganisha visa vyenu mnaweza mkatoa filamu au series nzuri tu...

Mfano kisa chako kimejaa mapenzi, kuna jamaa aliweka uzi wake hapa namna alivyonusurika kuuawa na polisi...

Sababu ya kufariki kwa Khumbu ni gani?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana ,mimi niliwahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Lesotho na Swaziland kwa majina yao Liakae Mafatle na Nkhosinathi Maphalala kati ya mwaka 1995 -2000 hapa Tanzania.
Tabia za wanawake wa kusini mwa afrika

1.Wanajua sex level ya juu sana ukilinganisha na watanzania
2.Wana shepu kali sana
3.Wanajua kupenda
4.Wanakunywa Pombe sana na kuvuta sigara
5.Ni wakorofi sana
6.Ni Rahisi kuliwa na rafiki zako,wao sex na kubadilishana wapenzi ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano hata kama anakupenda kiasi gani
Ndugu zetu Wangoni, si ndugu zao pia...

#TheNguniPeopleFromSouthAfrica
 
Bora ulivoisha mana umenipitisha kituo cha gari,pili unakuka sana muda wangu
 
Nilikaa hapo kama mwezi hivi kabla sijamleta Khumbu. Nilipoyazoea mazingira na kujiridhisha kuwa haitakuwa issue sana kumleta Khumbu kwenye huu mjengo kikubwa tu nizingatie protocal nilizoambiwa na washikaji. By the way ilikuwa ni complex kubwa. Walikuwa wanaishi watu wa kada mbalimbali.

Kwa mfano jirani yetu alikuwa ofisa wa polisi mkubwa tu na alikuwa mtu wa stori sana. Alikuwa mshabiki wa machester united, pia sie mle ndani wote tulikuwa mashabiki wa Man u, enzi za akina Sir Elex Furgason. Siku Man U inacheza jirani yetu alikuwa hachoki kutugongea mlango kuja kushangilia ushindi pamoja. Pia ndani ya hiyo complex kulikuwa na mademu wawili pisi kali mtu na mdogo wake. Mdogo mtu nilipita naye ila mahusiano hayakudumu, nilimpiga chini fasta tu.

Siku moja nipo chuo nikaamua kumpigia Khumbu. Nikamwomba aje chuoni kuna kitu nahitaji kuongea naye. Kweli bila hiyana akakubali na akapanga atakuja kesho yake maana kwa leo ana ratiba zingine, nikaona kesho sio mbali, acha nivute subira.

Kesho yake mida kama ya saa nne asubuhi akanipigia ananiambia tayari keshafika chuoni. Nikatoka nje kumfuata maana chuoni huwezi kuingia bila kitambulisho cha chuo. Mageti ya chuoni yalikuwa yanafunguliwa kwa kutumia kitambulisho cha chuo. Kitambulisho cha chuo kilikuwa kipo kama kadi ya ATM hivyo kuingia lazima u-swipe ndio geti lifunguke.

Nikamfuata tukaingia na kuelekea kwenye mghahawa wa chuo (cafeteria). By the way Khumbu hakuwa mgeni na maeneo ya chuo maana alishawahi kuja pale mara nyingi tu kipindi niko mwaka wa kwanza, hata siku ya kujisajili nilikuwa naye.

Nikaanza kumweleza kuwa kwa sasa maisha aliyokuwa anayataka ninayaishi. Nikamkumbusha maneno yake aliyoniambia siku ile "South African girls need money". Kwa hiyo turudiane tu ili kama kweli tunapendana tuone maisha yatatupeleka wapi. Nikamwelekeza sehemu ninayoishi kwa sasa.

Kitendo cha kusikia hiyo sehemu ninayoishi alionyesha kubigwa na butwaa. Akaanza kuniuliza imekuwaje nimeweza kuishi kwenye suburb kama hiyo? Nikamwelezea nimeweza kuishi kwa hisani ya jamaa zangu wa workshop pia nikamwambia nina mishe zangu pia zinazoniingizia kipato. Kwa kuwa alikuwa anawafahamu wale masela wangu haikuwa shida kunielewa na hakuendelea kunidadisi sana. Nikamwomba twende zetu mjengoni.

Sikutaka tena kuendelea kubaki chuo maana nilikuwa na hamu naye kinyama. Na kwa jinsi alivyokuwa amezidi kunona kila nikimwangalia nilikuwa najisemea kwa sauti ya jiwe "hiiiii baghosha". Sio siri Khumbu alikuwa kazidi kuwa mrembo mara dufu. Sijui ni fala gani alikuwa anammliki mwenye fedha zake maana kwa muonekano wake na pamba alizokuwa kapigilia ilionyesha kuna mtu mwenye hela anamgharamikia.

Kila nikimwangalia kichwa cha chini kilikuwa kinatema vimajimaji nikajikuta kama naanza kujichafua. Mie machine ikisimama halafu nikiwa na uchu, machine huwa inatoa vimajimaji vyeupe vya kuteleza kama mlenda unavyoteleza.

Tukainuka hapo kuelekea kituoni kupanda daladala ya kwenda geto. Getoni kule kulikuwa na kila kitu kwenye fridge hivyo ilikuwa ni kwenda moja kwa moja bila kupitia supermarket kutafuta msosi. Njiani nilikuwa naona kama hatufiki au anaweza kughairi na safari. Hapo nawaza tu nitakavyomsasambua kiroho mbaya.

Nikaanza na kukumbuka kile kiapo nilichojiapiza siku ile workshop niliyomuona akiwa kakamatiwa na mshikaji. Kituo cha kushukia kilikuwa mbali kidogo na getoni, hivyo tulivyoshuka ikabidi tuanze kutembea kuelekea getoni. Hapo ndio nilipoanza kuliona tena tako la kuning'inia kwa mara nyingine.

Alikuwa amevaa sketi fupi ya mpira, hizi sketi za kuvutika. Sketi ilikuwa kama imepanda juu kwa kushindwa kuhimili mlima uliokuwa huko nyuma. Yaani kila nikimwangalia nasema hiii huyu atanikoma. Tukafika getini, uzuri nilikuwa pia nina rimoti ya kufungulia geti hivyo tukaingia kwenye complex kimya kimya bila mtu kutuona, kama ni kutuona labda ni kwenye camera maana hiyo complex ilikuwa na cctv camera.

Itaendelea..
Huu uzi unavoanza nilisoma kidogo ata episode sikumaliza nikaudharau ila now nimekua mtumwa

Ila fresh lote life
 
Hapana mkuu, hakuna hata mtu anayenichambua kaka. Kuwa na amani kabisa ndugu yangu. Hata kama wataamua kunichambua na kupata identity yangu hamna watakachopata maana naishi maisha clean kabisa. Naendesha maisha yangu kwa kipato halali kabisa. Sema tokea nimeanza kuandika hii stori imenichukulia muda wangu mwingi sana. Mwanzoni nilidhani ningeimaliza siku moja tu ndani ya masaa machache ila kadri nilivyozidi kuandika nikajikuta natamani kuiielezea vizuri tukio kwa tukio ili kumfanya anayeifuatilia aweze kupata picha nzuri ya tukio. Niliona nikiielezea kwa juu juu itabore na insingefikia lengo langu la kuishare hapa JF. Kawaida nikiamua kufanya kitu nina tabia ya kukifanya kwa ufanisi. Hata nilipokuwa shule nikiwa najibu swali huwa nalijibu kwa kuhakikisha point zote ninazozijua naziandika, sina tabia ya kuandika au kufanya jambo kwa kulipua. Kulingana na nilivyo nimeona hii stori itaendelea kunichukulia muda wangu maana sitataka niiandike kwa kuikimbiza au kurukaruka.

Hahhaa mda sio mrefu tunapelekwa telegram

Author wa Jf mpo fit balaa.

Haya bwana na wewe unataka buku au
 
UZI UNA MENGI YA KUJIFUNZA HASA UKIANGALIA MWISHO WAKE.

Msikimbilie kumlaumu konda msafi naye ana majukumu mengine, japo mwisho unahuzunisha khumbu hayupo tena duniani.

Hapa ndo mjue maisha ya starehe yana mwisho wake, vyote ni ubatili mtupu, jiwekeeni hazina mbinguni hamtokaa mjute daima enyi kizazi cha nyoka
Kwa hiyo ambao hawana starehe maisha yao hayana mwisho au umeandika kuharibu hali ya hewa?

Anyway tuachane na hayo uko NMB ya wapi mkuu?
 
Matukio yote nayasummarise hapa angalau nitoe lawama maana mnavyonishambulia si kitoto.

Baada ya Khumbu kuja na huo mkoko mpya nikamwuliza ameupataje. Akasema kanunua kwa mkopo. ...Baadae kupitia kwa yule demu wa mshikaji niliyewaambia alihamia, alinipa siri ya huo mkoko mpya wa Khumbu. Aliniambia hiyo ndinga kanununuliwa na Mayor wa Durban. Khumbe hata ile habari ya kuniambia kuwa kapata kazi bank hatutakuwa tunaonana mara kwa mara ilikuwa uongo tu. Alitengeneza mazingira ya mimi kutokuwa namuhitaji kila mara ili Mayor akimuhitaji awe anapatikana. Yaani mimi aniweke kando ili awe huru na Mayor. Hivyo hizo story za kuwa busy na kazi ilikuwa za uongo.

Siku niliyotaka kuingia mikononi mwa police:

Wale jamaa walianza kufungia mzigo humu ndani tulimokuwa tunaishi. Lile gheto la kule mwanzo ulikokuwa unafungiwa mzigo waliacha kulitumia. Hivyo mzigo ukaanza kupimwa humo humo getoni tunapoishi. Binafsi kukaa kwenye nyumba na hayo makitu kilikuwa ni kitu ambacho nilikuwa sikitaki kabisa. Baada ya mambo kuanza kufungiwa humo nikaanza mchakato wa kuhama maana niliona hapa naenda kuhatarisha maisha yangu ya chuo. Nilijua tu kuna siku tutavamiwa humu.

Kufunga hayo madude wanatumia hii mifuko ya plastic tuliyokuwa tunaiita ya rambo. Sasa kwenye kufunga lazima kuwe na vipande vipande vya hiyo miplastic kwenye kukatakata. Na hivyo viplastic ukikutwa navyo hata kama hawajakuta mzigo umekwisha maana wazee wanavijua hivyo vipande vya plastic huwa vinasababishwa na nini.
Sasa hawa jamaa kila wakifunga walikuwa wanavizoa tu hivyo vipande na kuvikusanya na kuviweka kwenye makabati. Walikuwa wanasubiria mpaka yawe mengi ndio wakatupe. Kitendo cha kuishi na hivyo vipande vya plastic kilikuwa kinaninyima amani kabisa, halafu ukiwaangalia hawa masela hata hawajali kabisa. Nilichokuwa nafanya ilikuwa kila asubuhi nikiwa naenda chuo navishindilia kwenye begi naenda kuvitupa mbele ya safari ili angalau tukivamiwa wasikute ushahidi wowote. Maana hawa jamaa zangu walikuwa hawajali kabisa.

Sasa siku moja ilikuwa Jumapili, na sikuwa na mpango wa kwenda kokote. Mule ndani kulikuwa na hivyo vipande vya viplastic. Nikaamua acha nikavitupe ili nishinde home kwa amani. Nikawa nimevishindilia kwenye begi langu la shule. Ila kama Mungu tu ameniambia, Konda msafi be careful. Japo nilikuwa natoka mara moja kwenda kuvitupa, niliamua kuvaa kama vile naenda mbali. Yaani sikutaka kutoka let's say nimevaa bukta na vest kwa sababu najua natoka mara moja na kurudi. Nilivaa nguo kama naenda mjini au chuo. Nikachukua kabisa na kitambulisho changu cha chuo. Nikaweka begi mgongoni, nikatoka ndani, nikashusha ngazi na kuanza kuelekea getini nikiwa na rimoti ya geti. Ile kufungua geti tu nakutoka nje ya geti, mara pah! Kipira cha wazee kimepiga break miguuni kwangu, dah! Roho ikalipuka pah! Nikasema hapa nimekwisha. Wakisema tu fungua hicho kibegi tuone ndani kuna nini nimekwisha. Nikawa naona sasa shule ndio imefikia mwisho. Kipira kimesimama miguuni kwangu. Walikuwa askari weusi. Wakashusha kioo cha gari upande niliokuwepo wakaniambia nisogee karibu. Nikasogea, jamaa walikuwa wawili, kama nilivyosema wote weusi wapo kwenye uniform. Nikawa najitahidi nisionyeshe wasiwasi wowote. Wakaniuliza, unakaa humu ndani? Maana nilikuwa ndio nimetoka tu hapo getini. Nikasema ndio nakaa humu. Wakaniuliza tena, humo kwenye begi kuna nini, nikasema kuna vitabu vya dini, naelekea kanisani kufundisha kipindi cha dini kwa ajili ya watoto. Halafu kile kitambulisho cha chuo nilikuwa nimeking'iniza kifuani. Wakaniuliza wewe ni mwanafunzi, nikasema ndio, nikawapa kile kitambulisho wakakiangalia harafu wakanirudishia. Kisha wakasema tulikuwa tunakusalimia tu, wahi kanisani ukamtumikie Mungu. Wakakanyaga mafuta wakasepa, dah! Aisee! Kwanza nilifikiria sijui nirudi ndani nisiendelee kwenda kuyatupa haya madude. Nikaona acha niendelee na safari ya kwenda kuyatupa maana wasije wakageuka wakaniona tena narudi ndani nikawapa wasiwasi, mbona huyu kasema anaenda kanisani halafu amerudi ndani tena? Basi nikaanza kutembea fasta, hapo naangalia kona yoyote nitakayokutana nayo nipige, nipotee kabisa kwenye hiyo barabara. Kona tu ya kwanza nilipoipata nikaikamata, nikatembea mbele kidogo tu, nikafungua begi na kuyatoa hayo madude fasta na kuyatupa. Nikatembea mbele kabisa huko kuzunguka ili nirudi nyumbani kutokea upande mwingine.

Itaendelea jamani.... nilisema nitasummarise ila nashindwa kusummarise. Huko mbele acha nijifunze kusummarise.
 
Sammarize kifo cha kumbuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom