Jinsi mabenki yanavyonyonya na kuleta umaskini

Honestly mleta mada umeleta mada ambayo huna uelewa nayo. Material ya kusoma online yapo mengi sana. Katika wingi huo, kuna mengine hayafai. Isije kuwa umekutana na conspiracy theories. Ni kweli familia ya Rothschild ni mojawapo ya watu wanaomiliki uchumi wa dunia lakini ukakasi upo kwenye hayo maneno ya kwamba mabenki yana leseni ya kuchapa pesa.
 
Wakuu,
Mimi naona hapa aliyeanzisha uzi, makala hii ilikuwa ktk lugha ya kigeni na usipokuwa makini ukifanya tafsiri ya Kiswahili unapoteza maana na dhima nzima ya makala hii iliyokuwa ktk lugha ya kigeni.

Pia bank financial management (banking finance) ni utalaamu unaoupata kwa kusomea au kufanya kazi kwa muda mrefu ktk taasisi za kifedha na mabenki huku ukipata mafunzo kazini.

Sasa Mdau areafiftyone pamoja na nia yake nzuri ya kufanya tafsiri toka kugha ya kigeni kuja Kiswahili ktk uzi wake ametuchanganya na kuzua maswali mengi sana. Kufanya tafsiri inatakiwa kutulia na kuchukua muda pamoja na kuwa na uelewa wa kitaalamu ili tafsiri isipoteze maana ya makala halisi hasa ikiwa ni makala za utaalamu kama hii ili wasomaji waelewe tunachowasilisha.
Contact Us ‹ FAQs :: The Rothschild Archive

Mkuu, apitie na hapo. Kiuhalisia kwa lile bandiko lake amechanganya kila mtu. Kisha maswali yalipoanza anasema yeye hakuzungumzia mfumo wa Tz. Kazungumzia worldwide. Amebase sana na conspiracy theories ambazo nazo alipaswa ajiulize baadhi ya maswali pia.

Kamzungumzia tu Rothschild, je anamjua Rockefeller na impact yake kwenye historia ya mabenki nchini marekani?
Wakuu,
Mimi naona hapa aliyeanzisha uzi, makala hii ilikuwa ktk lugha ya kigeni na usipokuwa makini ukifanya tafsiri ya Kiswahili unapoteza maana na dhima nzima ya makala hii iliyokuwa ktk lugha ya kigeni.

Pia bank financial management (banking finance) ni utalaamu unaoupata kwa kusomea au kufanya kazi kwa muda mrefu ktk taasisi za kifedha na mabenki huku ukipata mafunzo kazini.

Sasa Mdau areafiftyone pamoja na nia yake nzuri ya kufanya tafsiri toka kugha ya kigeni kuja Kiswahili ktk uzi wake ametuchanganya na kuzua maswali mengi sana. Kufanya tafsiri inatakiwa kutulia na kuchukua muda pamoja na kuwa na uelewa wa kitaalamu ili tafsiri isipoteze maana ya makala halisi hasa ikiwa ni makala za utaalamu kama hii ili wasomaji waelewe tunachowasilisha.
Contact Us ‹ FAQs :: The Rothschild Archive

Mkuu, apitie na hapo. Kiuhalisia kwa lile bandiko lake amechanganya kila mtu. Kisha maswali yalipoanza anasema yeye hakuzungumzia mfumo wa Tz. Kazungumzia worldwide. Amebase sana na conspiracy theories ambazo nazo alipaswa ajiulize baadhi ya maswali pia.

Kamzungumzia tu Rothschild, je anamjua Rockerfeller na impact yake kwenye historia ya mabenki nchini marekani?
 
Honestly mleta mada umeleta mada ambayo huna uelewa nayo. Material ya kusoma online yapo mengi sana. Katika wingi huo, kuna mengine hayafai. Isije kuwa umekutana na conspiracy theories. Ni kweli familia ya Rothschild ni mojawapo ya watu wanaomiliki uchumi wa dunia lakini ukakasi upo kwenye hayo maneno ya kwamba mabenki yana leseni ya kuchapa pesa.
Unapata ukakasi kwa kuwa issue hii ni taboo.Mfumo unaoitawala dunia umetuaminisha kwamba serikali zote za dunia zinachapa fedha zao,lakini si kweli.
 
Ha ha haaa. Ndio maana nikasema umebase kwenye conspiracy theories mkuu and nothing else. Hizi ni theories ambazo watu huandika na ni kwa minajili ya kufichua yale ambayo wengi wanaaminishwa yako hivi kumbe sio hivyo.

Katika swala la hizo theories kuna mambo mengi sana. Mengine yanaweza kuwa kweli na mengine hayana ukweli wowote kabisa. Je wewe mkuu tuambie umeprove vipi hayo uliyo tuletea?.

Unajua theories behind the masonic societies?, unajua theories behind religions?, unajua theories behind American dollar and its features in relation to masonic symbols?. Are you a beliver of these theories?
 
Si vema kubisha bila hoja! Toeni hoja za msingi tupate majibu
 
Mkuu, mtoa mada amekwisha wekewa hoja mezani na maswali juu ambayo kimsingi yeye kama mtaalamu au mjuzi wa maswala ya kibenki na fedha anapaswa kujibu. Atujibu with facts.

Naona mada imegeuka kwa yeye kushikilia kuwa Bank of England (Old Lady), na Federal Reserve Bank ni privately owned. Hayo kashindwa yathibitisha maana anabase tu kwenye conspiracy theories na kukataa kile banks husika wanakisema.

Tuache hilo la nani anamiliki hizo benki, aje atupe maswali ya msingi yaliyo ulizwa huko juu na wadau kuhusu kile anacho kisema. Kisha tujenge hoja kwa hayo
 
Ha ha haaa. Ndio maana nikasema umebase kwenye conspiracy theories mkuu and nothing else. Hizi ni theories ambazo watu huandika na ni kwa minajili ya kufichua yale ambayo wengi wanaaminishwa yako hivi kumbe sio hivyo.

Katika swala la hizo theories kuna mambo mengi sana. Mengine yanaweza kuwa kweli na mengine hayana ukweli wowote kabisa. Je wewe mkuu tuambie umeprove vipi hayo uliyo tuletea?.

Unajua theories behind the masonic societies?, unajua theories behind religions?, unajua theories behind American dollar and its features in relation to masonic symbols?. Are you a beliver of these theories?
Ni ajabu kwamba hata ukweli unauita conspiracy theory.inaelekea wewe hata journals mbalimbali na vitabu vilivyoko kwenye mtandao utaviita conspiracy theory. Usichokijua ni usiku wa giza.Najua watawala wa dunia wame-train watu wao kama wewe kwa kujua au kutokuwa kuita kila ukweli unaowagusa "conspiracy"ili ku-dicredit ukweli makusudi.Sishangai kupata upinzani mkubwa kiasi hiki,ila mwenye nia ya kweli ya kujifunza amejua kinachoendelea on the world stage.
 
Ingekuwa busara kama serikali za dunia zingekuwa na vitengo maalum vinayvohusika na uchapaji wa fedha. Kwa namna hiyo serikali zisinge of Rome,Council of Foreign Relations,Media na Charities mbalimbali,mabenki yameweza kuwa na maamuzi makubwa kwenye nchi nyisecrengi duniani.Wako nyuma ya uanzishwaji wa tu kama European Union,African Union na jumuiya zingine za kikanda.Hawa pia ndio wanaohusika kwa kiwango kikubwa kuwafanya viongozi wengi wawe wasioeleweka na kusema ukweli.
References:
Google
1.The hidden secrets money.
2.Ancient banking secret.
Siri ni nini?

Siri ni kwamba bank zina "leseni"ya kuchapa fedha
Kama wanachapa fedha basi watuache tuweke na kutoa bila makato! Wanakata za nini ili hali wana uwezo wa kuchapa?
 
Ni ajabu kwamba hata ukweli unauita conspiracy theory.inaelekea wewe hata journals mbalimbali na vitabu vilivyoko kwenye mtandao utaviita conspiracy theory. Usichokijua ni usiku wa giza.Najua watawala wa dunia wame-train watu wao kama wewe kwa kujua au kutokuwa kuita kila ukweli unaowagusa "conspiracy"ili ku-dicredit ukweli makusudi.Sishangai kupata upinzani mkubwa kiasi hiki,ila mwenye nia ya kweli ya kujifunza amejua kinachoendelea on the world stage.
Nadhani shida sio mimi mkuu. Shida ni wewe, kama huna uelewa wa conspiracy theories ni vitu gani tuambie tukueleze.

Unapo zungumzia journals na mabandiko ya mitandao hiyo ni general term. Nilikuomba unipe links ya hayo uyasemayo, nami nikasome kisha nione kama ni reputable journals etc.
Unakimbilia kusema kagoogle hiki, mara kagoogle kile. Google ni search engine mkuu, italeta kila kitu, je nitasoma vyote?, kwanini unadhani "sources" za maandiko mbalimbali huwekwa?. Ni kumrahisishia msomaji kufanya reference kwa haraka juu ya kile asemacho.

Nikuongezee maarifa, kuna kitu kinaitwa dark web/internet. Haya materials wewe unaona kwenye google pekee usidhani ndiyo mwisho. Hizo unazoita taboo na ziko kwa kusearch kupitia google usidhani ndio final. Ukitaka secrets basi jua kuna kitu kinaitwa dark web mkuu. Huko ndio internet na uchafu wake wote upo
 
Ni ajabu kwamba hata ukweli unauita conspiracy theory.inaelekea wewe hata journals mbalimbali na vitabu vilivyoko kwenye mtandao utaviita conspiracy theory. Usichokijua ni usiku wa giza.Najua watawala wa dunia wame-train watu wao kama wewe kwa kujua au kutokuwa kuita kila ukweli unaowagusa "conspiracy"ili ku-dicredit ukweli makusudi.Sishangai kupata upinzani mkubwa kiasi hiki,ila mwenye nia ya kweli ya kujifunza amejua kinachoendelea on the world stage.
Ina maana mkuu mtu kukubishia ndo amekuwa trained na wakuu wa dunia?. Unadhani uelewa wangu na wako lazima uwe sawa?.

Je hili sio swala la kiimani zaidi kama nilivyo sema hapo mwanzo?. Je wanifahamu kama natumika au ni kitu unakisema tu kwa hisia?. Ni kweli mtu muelewa na anayetaka elimisha watu ni lazima utake watu waamini kile utakacho tu bila kuhoji mkuu?. Nini maana ya Great Thinker?.

Usichukulie watu poa mkuu, watu wanayajua mambo. Watu wanataka hoja zenye mashiko ili ziwe msaada kwa wale wanaotaka kuelewa. Hata darasani hatuwezi elewa wote kwa pamoja. Tupe logics and facts beneath your writings na tunaweza amini pia. Usitake tukubali tu kwa kuwa umesema bila kuwa na hoja zinazo tufanya tukubali usemacho.

Jenga hoja mkuu
 
Pia mkuu kama wewe ni mkristo embu fuatilia vizuri maandiko ya mitandaoni behind those theories alafu uone zina test vipi imani yako. Kuna novel inaitwa The Da Vinci Code. Itafute mkuu
 
Sasa kama unaamini hivyo basi kwanini kuna baadhi ya mabenki huwa yanafilisika?
Hivi ni vi-bank vidogo ambavyo havina effect on the larger Elite agenda!Ni kama kwenye biashara ya large world supermarkets,kaduka ka Mangi kanaweza kufilisika sio issue.
 
Haya ni majibu ambayo ni very general mkuu. Mimi naomba utusaidie jambo moja, inawezekana kabisa tunashindwa kuelewa au watu wanapoteza muelekeo kwa kuwa haijulikani inatakiwa tuchangie uzi huu katika angle/pembe gani.

Je, 1.tuchangie kwa kuweka uelewa na taaluma/profesionalism ya maswala ya fedha na benki kama kigezo cha kujadili bandiko lako?. Na je tunalijadili kama mfumo wa kibenki dunia bila kuhusisha nchi zetu?, kama ni la Elite wa dunia ya kwanza basi ujue kuna kitu cha NWO ambacho huwezi exclude nchi za dunia ya tatu.

2. Swala hili tulijadili kwa minajili ya kiimani tu kuwa kuna watu wanaendesha hii dunia. Kuwa kila tukionacho basi kiko nyuma ya watu fulani na tunapaswa amini tu hivyo bila kuhoji.

3. Swala hili tulijadili kwa maana ya kama "story za mitaani" ambazo tunazisikia huko mitandaoni lakini mimi na wewe hatuwezi dhibitisha kama ni kweli au lah.

Tupe muongozo kiongozi, vinginevyo utaona kama watu wanapingana na kile unacho kiamini na kila mtu ukamuona yuko "brain washed".
 
Ina maana mkuu mtu kukubishia ndo amekuwa trained na wakuu wa dunia?. Unadhani uelewa wangu na wako lazima uwe sawa?.

Je hili sio swala la kiimani zaidi kama nilivyo sema hapo mwanzo?. Je wanifahamu kama natumika au ni kitu unakisema tu kwa hisia?. Ni kweli mtu muelewa na anayetaka elimisha watu ni lazima utake watu waamini kile utakacho tu bila kuhoji mkuu?. Nini maana ya Great Thinker?.

Usichukulie watu poa mkuu, watu wanayajua mambo. Watu wanataka hoja zenye mashiko ili ziwe msaada kwa wale wanaotaka kuelewa. Hata darasani hatuwezi elewa wote kwa pamoja. Tupe logics and facts beneath your writings na tunaweza amini pia. Usitake tukubali tu kwa kuwa umesema bila kuwa na hoja zinazo tufanya tukubali usemacho.

Jenga hoja mkuu
Nimejenga hoja na nimetumia references pia mkuu, naomba uzifuatilie.Kama kweli ungetaka kujifunza usingeita bandiko langu conspiracy. Ukishaita kitu conspiracy mkuu umeshaweka ukuta.Infact ina maana kwamba huna nia ya kujifunza,because you know it's a "conspiracy" after all.Neno conspiracy linakuwa misused sana mkuu, na linatufanya tusijue ukweli wa mambo mengi sana.
 
Tupe links mkuu. Kutuambia tu kagoogle sidhani kama ni sahihi. Ukiona tunayasema haya ujue huko google tulisha pita mkuu. Kwa kuturahisishia weka hapa links kama zile niliweka, mtu aingie akasome exactly unachotaka. Kisha tuendelee jadili mada, nasema hivi maana mitandaoni kuna mengi sasa ni vyema tupate kile ulichokipata wewe mpaka ukajenga hoja hii.
 
Nimejenga hoja na nimetumia references pia mkuu, naomba uzifuatilie.Kama kweli ungetaka kujifunza usingeita bandiko langu conspiracy. Ukishaita kitu conspiracy mkuu umeshaweka ukuta.Infact ina maana kwamba huna nia ya kujifunza,because you know it's a "conspiracy" after all.Neno conspiracy linakuwa misused sana mkuu, na linatufanya tusijue ukweli wa mambo mengi sana.
Hii itabaki kuwa conspiracy unless imekuwa proved na hizo authorities unazo zijadili. Kama unataka tuamini tu sema nimeweka bango na mnapaswa amini hivi. Kama kitu kinakinzana na tovuti husika za wenye hizo institutions basi hili tuliitaje?. Ni conspiracy behind the banking industry au ni belief behind the banking industry?.

Haya mambo tumeanza yasoma sio leo jana wala juzi. Ukiona mtu anakwambia hizi ni conspiracy theories kama baadhi ya wadau wanavyosema ujue ni vitu watu walisha visoma sana huko mitandaoni na hata huko vimekuwa under hiyo segment ya conspiracy.

Leo hii mkuu ukitaka nikuamini nijie na hard facts, tujadili kama watu wanaojua nini wanazungumza, tueleweshane kwa yale tusiyo elewa na muhimu tupewe vyanzo nasi tusome, labda tunaweza elewa kama wewe mkuu
 
Hivi kwa nini ma-bank ambayo hayazalishi chochote (isipokuwa kuwapatia wateja wao huduma zisizo za viwango) nimatajiri kuliko taasisi zingine?Angalia Chase nManhattan,Goldman Sacks, Barcklays nk. Na inakuaje kila biashara inakabiliwa na madeni ya bank?
Na inakuaje bank ndizo zenye majengo mazuri mjini tena bila mortgage au mkopo wa aina yeyote,wakati viwanda na watu wengine wanahangaika usiku na mchana ili kuweza kulipa mikopo ya ma-bank waliyopata kwa kuweka dhamana mali zao?

Mtu angedhani watu wa viwanda na Kilimo ambao wanazalisha bidhaa muhimu kwa maisha ya watu,ndio ambao wangekuwa matajiri zaidi ya wenye mabenki ambao kwa asili walikuwa wawekaji tu na watunzaji wa fedha za wateja wao na wenye mabenki wangekuwa watumishi tu,tena wa chini wa wenye viwanda nk,lakini sio. Siri ni nini?

Siri ni kwamba bank zina "leseni"ya kuchapa fedha,fedha ambazo hazitokani na kufanya kazi,au fake money, au money created out of nothing! Wenye viwanda na wateja wengine wamebanwa na ukweli huu mchungu mno.

Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna mtu anayetaka kuongelea ukweli huu,ambao unaonekana kama taboo. Wataalam wetu wa uchumi,wana siasa,wana habari, watawala,wanaelekea kutokuwa tayari kuzungumzia swala hili. Vitabu vyote, makala zote, mikataba, majarida, documentaries za TV,vikundi mbali mbali vya majadiliano,vyuo vikuu,taasisi zingine mbali mbali,wote wako kimya kuhusu uonevu huu, kana kwamba haupo.

Rothschild Brothers(London,1863)wamesema,
"Wachache wanaoelewa mfumo huu hawataki kabisa kuuongelea kwa sababu ya faida wanazozipata."

Njia rahisi ya kuona jinsi bank zinavyofanya kazi ni kufikiria piramidi iliyogeuzwa, upande uliochongoka chini na upande bapa juu. Sehemu iliochongoka inawakilisha fedha halisi za bank,ambazo zamani zilikuwa ni coins za dhahabu na fedha.Juu ya hapo ni viwango mbali mbali vya mikopo kwa wateja wa mabenki.

Mikopo hii sio fedha halisi,kwa kuwa haikupatiiokana kwa kufanya kazi! Hata hivyo wateja waliochukua mikopo hii, inabidi walipe mikopo hiyo na faida kutumia fedha halisi ambazo wamevuja jasho kuzipata!Huu ndio mfumo wa ajabu ambao tunautumikia kwa miaka mingi na mfumo ambao ndio kwa kweli unaofanya thamani ya fedha ipungue.

Ingekuwa busara kama serikali za dunia zingekuwa na vitengo maalum vinayvohusika na uchapaji wa fedha. Kwa namna hiyo serikali zisingehangaika na madeni ya ndani.Ni jambo la ajabu kwamba tumeruhusu bank zichapishe fedha na kubadili riba wanavyotaka.Si ajabu kwa hiyo kwamba tunakuwa na vipindi vya hali nzuri ya uchumi (boom and slumps or financial crises and depressions),vitu ambavyo vinasababishwa na kuongezeka au kupunguza fedha kwenye circulation,hali ambayo imeyapa mabenki mamlaka kubwa mno juu yetu.Hii imeleta hali ya kuwa na watu ndani ya mabank wenye mamlaka kubwa mno.Watu hawa hawawajibiki kwa yeyote isipokuwa kwao wenyewe.Kwa kutumia nguvu ya pesa waliyo nayo wamenunua wana siasa na kuwa na ajenda za ajabu zenye nia ya kuendelea kujilimbikizia mamlaka na madaraka ili wasiguswe.Hatimaye wanaishi maisha ambayo sisi wengine tunayaota tu.
Kupitia kwa wanasiasa hao na kutoa misaada kwa vikundi mbali mbali kama Freemasons,Club of Rome,Council of Foreign Relations,Media na Charities mbalimbali,mabenki yameweza kuwa na maamuzi makubwa kwenye nchi nyisecrengi duniani.Wako nyuma ya uanzishwaji wa tu kama European Union,African Union na jumuiya zingine za kikanda.Hawa pia ndio wanaohusika kwa kiwango kikubwa kuwafanya viongozi wengi wawe wasioeleweka na kusema ukweli.
References:
Google
1.The hidden secrets money.
2.Ancient banking secret.
3.The FED(The Federal Reserve Bank) is a commercial privately owned bank.
4.Federal Reserve Bank ownership. Factcheck.org
Google pia "Quotes on Banking and the Federal Reserve system FRAUD"upate ukweli zaidi.

Commercial bank huwa zinapata mwongozo kutoka benk kuu ya kila nchi, pia hukopa fedha benki kuu mfano Tanzania, Bank of Tanzania(BOT), hii ndio huamru benk zote zilizopo Tanzania namna gani zitoe mikopo na riba ziweje, hata viwango vya mikopo kwa kila sekita mfano viwanda na kilimo. BOT ndio inayomandate ya kuongeza au kipunguza fedha kupitia commercial bank. Sio kila benki inauwezo wa kuchapisha fedha mkuu. isipokuwa benki kuu ya kila taifa ndo inamandate hio, naomba urudi ukasome tena kwenye hizo reference nahsi utakuja kivingine.
 
Naona mjadala unapamba moto, kwa kweli aliyeanzisha uzi Mdau areafiftyone bora kichwa cha uzi wake ungekuwa na alama ya kushangaa ! au kuuliza ? Kwa mfano "Kuna madai ya njama kubwa za mabenki kunyonya na kuleta umasikini ! ? Badala ya kichwa cha habari wa uzi kusomeka kama ni kweli bila shaka yoyote.

Pia tunapotafsiri makala toka lugha ya kigeni tuhakikishe tafsiri haiharibu makala halisi kabla ya kuileta huku JF . Mfano simulizi za tafsiri za mdau wa JF Bold toka lugha ya kigeni kuja ktk lugha ya Kiswahili huwa ukisoma nakala halisi ya makala ktk lugha ya kigeni hakuna tofauti kwa asilimia 99.
 
Commercial bank huwa zinapata mwongozo kutoka benk kuu ya kila nchi, pia hukopa fedha benki kuu mfano Tanzania, Bank of Tanzania(BOT), hii ndio huamru benk zote zilizopo Tanzania namna gani zitoe mikopo na riba ziweje, hata viwango vya mikopo kwa kila sekita mfano viwanda na kilimo. BOT ndio inayomandate ya kuongeza au kipunguza fedha kupitia commercial bank. Sio kila benki inauwezo wa kuchapisha fedha mkuu. isipokuwa benki kuu ya kila taifa ndo inamandate hio, naomba urudi ukasome tena kwenye hizo reference nahsi utakuja kivingine.
Alafu hizo anazo andika hapo sio reference mkuu. Kama amepita chuo anajua ni namna gani reference zinaandikwa au zinawekwa kama unataka mtu arudi kusoma vitabu au mitandao uliyotumia kujengea hoja.

Huwezi niambia eti kagoogle neno flani kisha uniambie hiyo ni reference. Ni kigoogle zikaja pages 100 kwenye google nisome ipi?. Ni ipi wewe umedhamiria na ni ipi umejengea hoja ili sote tuisome na tuone kama tunaelewa sawa.

Kimtandao, reference nzuri ni kuweka link. Mtu apitie link hiyo kisha apate kile wewe ulitaka. Kwa kusoma vilivyomo humo tunaweza elewa zaidi. Pia nashindwa elewa huu mfumo wa kibenki Tanzania tulirithi toka wapi, maana mtoa mada hsizungumzii Tanzania. Je anaelewa world bank inafanya shughuli gani na ni jinsi gani banks ziko connected all over the world?
 
Back
Top Bottom