Jinsi Kremlin inavyopata viongozi wake

Jinsi Kremlin inavyopata viongozi wake

Wanafunzi A wanatakiwa wafanye uvumbuzi wa kiteknolojia.

-Kama wapo kwenye kilimo wagundue vifaa vya kilimo.

- Chemist atugundulie dawa za magonjwa sugu.

Sasa mwaafunzi kapata A ya physics unampeleka usalama wa Taifa kuwa mmbea wa kupeleleza viongozi wa upinzani.
😂😂😂😂 hapana usalama wa Taifa kwa A students kunawasaidia kufanya uja sisi wa sayansi na tekinolojia za mataifa yaliyoendelea na kupanga mikakati ya kusogeza Taifa kuliko lilipo lifike huko.

Hivi ndiyo walivyofanya China. Kwa muda mrefu walichunguza uchumi wa Marekani, Ujerumani na hata Uingereza na wao wakapanga mikakati yao.
 
hapana usalama wa Taifa kwa A students kunawasaidia kufanya uja sisi wa sayansi na tekinolojia za mataifa yaliyoendelea na kupanga mikakati ya kusogeza Taifa kuliko lilipo lifike huko.

Hivi ndiyo walivyofanya China. Kwa muda mrefu walichunguza uchumi wa Marekani, Ujerumani na hata Uingereza na wao wakapanga mikakati yao.
Hilo nafahamu Sky je sisi tunawatumia kufanya hayo?

Nadhani tunatatizo mahali...am not pointing at anyone...

Unajua wachina wanavyofanya kwenye nchi za kiafrika wanabiashara nyingi na zenye faida saana na wanaishi vizuri kuliko sisi wenyeji.

Jibu la wao kufanya vizuri kwenye biashara sio kwamba wanaakili kuliko wenyeji..no...wanapata msaada kutoka kwa serikali yao kuanzia usafirishaji wa bidhaa na kushushiwa kodi kama sio kuondolewa Kodi Kabisa.

Na tunategemea mfanyabiashara wa Kiafrika kushindana sawa na mchina aliyepata msaada wa namna hiyo katika mazingira sawa. Sio wachina tu hata Indians mazingira wanayopewa na taasisi za zetu za biashara ni tofauti kabisa na tunayopewa sisi wazawa.

Walio na dhamana hawayaoni haya kwasababu tulishatengezwa kuamini ngozi nyeupe ndizo hufanikiwa zikifanya chochote. Tunasahau hatuwapi mazingira sawa ya ushindani.

Mazingira wezeshi kwa wajasiriamali, wanasayansi na wakulima yanatakiwa. Na hii sio lawama ya viongozi tu Ila inamhusu kila mmoja.....wote tumelala.
 
Changamoto ni kwamba, wanafunzi wanaswagwa kama kondoo bila kuangalia uwezo au vipaji. Wanaenda hivo hivo hadi kidato cha tatu ambapo mdo wanaambiwa wachague science, arts au biashara. Wakifika hapa wengi hawachagui kitu wanachopenda, wanachagua majina, daktari, injinia n.k. by the time mwanafunzi huyu anagraduate form 6 hajui hata anachotaka kuwa, na hapo mzaz anamlazimisha asome kitu ambacho anahisi kina fursa kwa mfano afya.
So tunapoteza watu wenye uwezo kuanzia level ya chini kabisa. Utamkuta mwanafunzi ambaye angekua mwanasiasa mziri mwenye weledi ameishia kua nutritionist. Anaishia kufanya kazi asiyoipenda ili tu apate mkate wa kila siku.
The system.is rigged tangu huku chini. Tunavosoma havitusaidii lakini vinatusababisha tuwe watu wanaokariri vizur.
Tutachelewa sana kufika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom