Jinsi Kremlin inavyopata viongozi wake

Jinsi Kremlin inavyopata viongozi wake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Nilisoma andiko jinsi Kremlin inavyoandaa viongozi wake. Ni mpango wa muda mrefu. Unaanzia vijana wakiwa mashuleni. Walimu wakuu wanapeleka majina ya wale wanaopata A na B, kwa kifupi wanafunzi wao bora.

Hawa wanaandaliwa kuanzia Chipukizi mpaka kujiunga na umoja wa vijana wa chama. Hawa huwa wakimaliza shule wanapangiwa kazi, hawahitaji kutafuta kazi. Mfano Putin alikua mwanafunzi wa A. Kwao ni lazima ujifunze lugha moja ya Ulaya katika masomo yako. Yeye alijinfunza Kijerumani na Alipata A katika mtihani wake.

Kazi ya kwanza aliwekwa Wizara ya mambo ya nje kama ofisa wa kuwasaidia wana diplomasia wageni. Ukweli wa kazi yenyewe ilikua kuwachunguza wanadiplomasia hasa wageni mienendo na malengo yao wakiwa Urusi.

Wakati wa vita baridi alihamishiwa Ujerumani Mashariki kama mkalimani wa ubalozi wa Urusi. Kazi yake hasa ilikua kulinda siri za Urusi zisiingie Ujerumani Magharibi na pia kuichunguza Ujerumani Magharibi.

Haya pia yaliyo kwa kwakina Yeltsin, ingawa alikua Mhandisi lakini alishaandaliwa kushika madaraka makubwa. Ingawa mambo sasa hivi yamebadilika Olga wana ushawishi wa pesa katika serikali ya Urusi na Putin pia ameweka watu wa kulinda interest zake.
 
Sisi zali linakuangukia tu tena wale failures ndio wanaongoza.
 
mpango umefia kwa mkapa! ulikuwepo tokea enzi za mwalimu alicopy huko
 
Matatizo ya Waafrika inasemekana bado hatujaondokana na athari za utumwa na ukoloni. Wengi tuna umimi ule ambao babu zetu waliutumia kuuza watu wao kwakina Tip Tip ili wapate faida.

Katika Mkutano wa Berlin wa kuigawa Afrika, mwakilishi wa Uingereza alianzia figisu za kuipoka Ujerumani Tanganyika. Alimwambia Mfalme wao Ujerumani amekula bingo, Tanganyika ni utajiri mtupu.

Uingereza wakihakikisha wanaipata Tanganyika na haikuwa plan ya muda mfupi. Ninachomaanisha ni kuwa viongozi Wazungu wanafikiria faida za nchi zao miaka 100 mbele.
 
Hapa kwetu Nyerere alijaribu nae kuandaa viongozi. Baadhi Yao ni Yusuph Makamba, Moses Nauye, Uliwaona Ditto na Jakaya.
Aliwapeleka jeshini na aliwatoa kwenye makabila ambayo hayana ushawishi mkubwa.
Cha ajabu wote walioandaliwa na Nyerere walipofika kwenye uongozi wao walianza kuwaandaa watoto wao binafsi. Sasa tusubiri hao watoto wakiingia kwenye uongozi watawaandaa kina Nani?
 
unapaswa kwanza ujenge mazingira ili hizo A ziwe halisi na kureflect yaliyokichwani mwa mtu.
Pia uhakikishe watu wote wanatoka mazingira ambayo hayatawakwamisha.

sasa mtu anapata A kwa kusoma kilimo cha ndizi Jamaica na ngano Canada...na historia ya Somalia...kutoka mwembetogwa primary kule Kigoma..
 
Watoto wanaopata A ni wa seminary na Feza, huku kwingine mfumo wa elimu unahitaji ukarabati wa hali ya juu. Pesa za kuajiri walimu wa kutosha hasa shule za vijijini zinahitaji kupewa kipaumbele.
 
nazani huu ukarabati una takiwa kwa shule za serikali tu, na shule binafsi wao hawa husiki...

sijui tutakuwa tumefanya nini?
 
Ila Kuna guarantee yoyote ya ukifanya vizuri shule utakuwa kiongozi mzuri.... nadhani hili linahitaji mjadala pia.

Maana hata shuleni tunaongozwa na C students. A students wengi wao mazezeta tu.
 
hebu fikiria kama yule Bulldozer aliwezaje kukikalia kiti na laana ya kumuua dada yake kwa kipigo
 
Ila Kuna guarantee yoyote ya ukifanya vizuri shule utakuwa kiongozi mzuri.... nadhani hili linahitaji mjadala pia.

Maana hata shuleni tunaongozwa na C students. A students wengi wao mazezeta tu.
Churchill hakua vizuri kwenye taaluma lakini alikua mwanasiasa mzuri, hata hivyo uwezo wa darasani unasaidia Rais kufanya research na analysis kablawya kutoa maamuzi.
 
Hapa kwetu Nyerere alijaribu nae kuandaa viongozi. Baadhi Yao ni Yusuph Makamba, Moses Nauye, Uliwaona Ditto na Jakaya.
Aliwapeleka jeshini na aliwatoa kwenye makabila ambayo hayana ushawishi mkubwa.
Cha ajabu wote walioandaliwa na Nyerere walipofika kwenye uongozi wao walianza kuwaandaa watoto wao binafsi. Sasa tusubiri hao watoto wakiingia kwenye uongozi watawaandaa kina Nani?
Upewe tuzo ya nobel. Tena naongeza wanaandaa hadi mahawara na kuwapa ubunge wa viti maalum.
 
Churchill hakua vizuri kwenye taaluma lakini alikua mwanasiasa mzuri, hata hivyo uwezo wa darasani unasaidia Rais kufanya research na analysis kablawya kutoa maamuzi.

Wanafunzi A wanatakiwa wafanye uvumbuzi wa kiteknolojia.

-Kama wapo kwenye kilimo wagundue vifaa vya kilimo.

- Chemist atugundulie dawa za magonjwa sugu.

Sasa mwaafunzi kapata A ya physics unampeleka usalama wa Taifa kuwa mmbea wa kupeleleza viongozi wa upinzani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom