Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Vimefanana na vifungu vya jecha kukimbilia kwenye mikia kuhalalisha haramu. Musichezee Katiba.
 
kessi ya tumbili unampelekea ngedele, unadhani nini matokeo yake? hata hivyo tusome kipengele cha vyama vya siasa tu ambavyo ndo vimetufikisha kwenye mivutano
Rafiki hiyo ya vyama vya siasa ni sheria tu. Ambayo inaweza badilika wakati wowote.

Lakini katiba inasema kuwa:-
Kama mtu anaona ameonewa haki yake aende mahakamani kitendo ambacho chadema wamefanya na wakashindwa kulingana na kipengere nilicho kupa. Kwahiyo hakuna katiba yoyote rais amevunja. Ni vyama vya upinzani vinataka kuhadaa wananchi tu.
 
wanajidai katiba katiba kama kasuku. sheria inayotokana na katiba ndio imewapa polisi uwezo kuzuia maandamano ya cdm
 
Kwa hapo sasa wanaotukana humu wataanza kupwaya maana walishazoea copy and paste za Tindu lisu ambapo ukimpeleka kwenye analysis anatoka ziro na anashindwa kutetea
 
Siku moja tu ilinitosha kufahamu kuwa Tundu Lissu hamna kitu ni pale alipoomba bunge lihairishwe kwakuwa yeye aliitwa mahakama kuu
Huyo ndio mwanasheria mkuu wa Chadema
Mh lini
 
Hii thread itakuwa imeandikwa na mtu ambaye ubongo wake upo tumboni. Ukiwa na akili timamu ya nn ujitoeufahamu kwa jambo ambalo lipowazi. cdm wanaandamana kwa kutumia vifungu vya sheria lkn ninyi mnapinga kwa kutumia nguvu za dola mlizonazo .
Taja hivyo vifungu vya sheria
 
Duuuhh nimecheka mpaka basi ...hyo ibara ndio kwanza inawabeba chadema.... unafikiri wanasheria wa CCm hawaioni hii ibara....why haven't they raised such an act to prove their innocence
Mtoa mada hajawahi kusoma principles za Sheria . Ndugu Sheria ili uielewe inazungumzia nini sharti la kwanza ni kujua jinsi ya kuisoma, kuitafasiri, kuiandika, na pia unapoisoma usichukue sub article ukawa umeridhika utaonekana wewe ni kituko. Emu tuwekee article nzima na pia maelezo ta awali ya hiyo article then uje uandike upya thread yako.... Over
 
ndugu bado hujanishawishi coz kuna mambo mengi yanayoganana hayo yamefanywa na serikali ambayo yana dalili za upendeleo jambo aliposema siasa hadi 2020 yeye alipookuwa kwenye mikutano alikaliliwa akiwataka baadhi ya watu mfano lembeli warudi ccm,je hiyo sio siasa aliyosema mpaka 2020? jambo jingine la kuchanganya msigwa aliandikiwa barua kuwa wanaoruhusiwa kufanya siasa ni wabunge na madiwani katika sehemu walizo shinda tu lakini olesendeka ambaye si mbunge aliitisha mkutano wa hadhara kule longido ns polisi waliulinda mkutano ule ,hapo vip? mara mikutano inayo ruhusiwa ni ya ndani tu na leo nayo imefutwa! maswalu ya msingi ya kujiuliza ni kipengele gani kwenye katiba ambacho kinasema siasa ifanywe mpaka 2020, ni kipengele gani kwenye katiba kinasema anayeruhusiwa kuitisha mkutano wa hadhra ni mbunge na diwani tu na asialikwe mngine?
 
Toa ibara hapa kama vile imepwaya kwenye uzi huu!!!
 
Sasa hapo unasema maneno matupu wala hutumii kifungu chochote.
Unajua haki yoyote kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ipo mikononi mwa Rais? Anaweza akaiondoa kwa maslahi ya umma?
Haki yoyote inaondolewa na rais kwa maslahi ya umma. Yaani ukitaka kwenda kwenye Katiba utapigwa za uso. Wewe vumilia tu.
 
ni kweli unachosema, mungu ampe hekima na busara ili asitumie madaraka yake vibaya kwani anaweza kulitumbukiza taifa kwenye matatizo kwa chuki ambayo inaweza dumu kwa muda mrefu kwa wananchi wenye itikadi tofauti na asione matumizi ya vyombo vya dola kama polisi ni suluhisho bora sana kuzidi mazungumzo ya kupeana elimu. sio jambo zuri kuingia vitani na wananchi wako
 
Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote ni mbwembwe tu za kina Lisu na Mbowe kutafuta kick. Wanajua kabisa Rais ana nguvu sana.

Na ikumbukwe Mahakama ni Idara ya Serikali kutokana na katiba.
 
Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote ni mbwembwe tu za kina Lisu na Mbowe kutafuta kick. Wanajua kabisa Rais ana nguvu sana.

Na ikumbukwe Mahakama ni Idara ya Serikali kutokana na katiba.
una puuzia wakati wenzako wanamaanisha wanachosema, we si umeona jitahada zinazofanywa taasisi mbalimbali kama vile za kidini kuweka mambo sawa au unata mpaka polisi wauwe watu ndo ujue kuwa wanamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…